NACTE wana mpango gani na sisi?

NACTE wana mpango gani na sisi?

kwakweli binafsi naumia sana hawa NACTE walisema tarehe 31 mwezi wa nane watakuwa wametoa majibu sasa cha kushangaza mapka leo wapo kimya na wanajua vyuoni tunatakiwa kureport mwezi wa tisa. wangetoa mapema ili wazazi wetu wajipange maana hali ya uchumi kwa sasa ni ngumu.

Second selection ni ya vyuo vya private karo yake ni kubwa tena inawaumiza zaidi wazazi wetu hawa wasio na kipato cha uhakika. hata kuomba samahani kwa kuudanganya umati hakuna wapo kimyaa tuu. waziri wa elimu naye yupo kimyaa. mtoe majibu yetu mapema wengine tumeacha kwenda advance tunawasubiria nyie na muda hautusubiri, mwaka huu unaisha, mtoe majibu ili tukikosa tuangalie utaratibu mwingine. hatuna mpango wa kukaa mwaka mzima nyumbani. mtuhurumie.
Pole sana..wanakera ndo nimeona tangazo eti matokeo mpk tarh 5 mwez wa 9.
 
KTU tarehe tano wakuu aisee mvute subira
Kuna ka msemo kanatia moyo sana kanasema HV '' machuo ni mengi'
Vuten subra
 
Back
Top Bottom