Recent content by Joseph seni sabale

  1. J

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    Pole sana ndg yetu kwa kufiwa na mama mzazi na mwenyezi mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mtu mzito napenda nikuulize kwa nn wachawi wameshindwa kwenda kuiba hela kwenye mabenk??
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nifundisheni maneno ya kuongea na mwanamke

    Mdogo wangu usikimbile hayo mambo ya ngono maana yapo tu kikubwa Fanya kwanza mambo yako mengine ya kukuingizia kipato au kama bado unasoma nakuomba uendelee kusoma kwanza mambo ya ngono yapo tu
  4. J

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Ni kweli mh.makonda asilimia kubwa maofisini hawafanyi kazi, wanaofanya kaz ni asilimia ndogo sana ukiangalia ni wale wenye cheo cha chini
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbona wasichana wanazaa wakiwa wadogo sana?

    Hata mm hili limenigusa sana maana hata huku vwawa mbozi SONGWE kuna wabinti wadogo sana miaka yao ina range between 16-21 lakin watoto walionao unakuta anawatoto wawili hadi watatu,kikubwa ss kama wazaz , walez, jamaa na marafk wa kwel tujaribun kutoa elimu kwa wadogo zetu au watoto maana mambo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Okwi asaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba sports club

    Ni kweli Emanuel Gabriel Okwi amesain kuichezea simba??
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    Inaashilia huyo dada ananyege nyingi sana halaf huyo pia ni mtam sana akiwa kwenye mechi according to the biological factors
Back
Top Bottom