Recent content by Joseph mwandembo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nakerwa na watu wachache wanaomsuport North korea

    Hata mimi nashangaa. N. Korea anaandaa silaha kila kukicha huku watu wake wanahangaika. Kila siku vitisho vya silaha kwa Marekani. Anajivunia nini? Na Wtz tunamchekea[emoji15] [emoji15]
  2. J

    JamiiForums Tanzania Why Gaddafi was Killed. Is it true for humanitarian reason pliz read

    Ni kweli mali za Afrika hutamaniwa sana na magharibi. Na sisi kwa kutofikiri tunadhani mkombozi na rafiki wa kweli ni mashariki. Mbaya zaidi tuna na tulikuwa na viongozi wabinafsi kama akina Ghadafi na Mugabe waliojihesabia haki zote kwa nchi zao
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msiba wa George Kahama wamkumbusha Mhariri wa Raia Mwema, Abdulwahid Sykes

    Ndugu Mohamed Said, wote uliowataja(waislam) walishiriki vizur kuusaka uhuru wa Tanganyika. Hata mimi niliwahi kusoma kwamba ktk vikao vya hao waasisi jina la TANU lilitungwa na Sykes. Kasoro ni pale unapoonyesha kana kwamba uislam wao ndio uliochangia.Ni kama ungependa taifa lipigie mstari...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mjue Rais wa kwanza wa Zimbabwe huru

    Ni kweli maana huyo bodigadi alitoa ushahidi mahakamani alivyokuwa akilazimishwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kilichomkumba aliyekuwa Rais wa Liberia hayati Samuel Kanyon Doe....

    Umenikumbusha mbali. Tolbert mwenyewe alikuwa mtawala aliyeigawa nchi yake kwa ndugu,na jamaa: Mawaziri, wakuu mikoa na wilaya. Na huyo Doe alikuwa na ukabila na ushirikina kwa sana.
Back
Top Bottom