Sasa wewe ungechunguza ujue kwanini majasusi wa CCM wananifatilia hivyo!
Kabla ya kucoment huku inafaa ujiulize kwanza kwanini nafuatiliwa hivyo ndipo uje na conclusion hapa.
Nawashauri watanzania wawe wanakitathimini kitu kwanza ndipo waconclude hapa!
Wewe kwa akili zako huwezi jiuliza hili...
Sasa wewe ndugu yangu kama hujawahi kukutana na mambo kama haya utaweza ona ni chenga tuu ila ni mambo ya kweli.
Wao wakishapanga kukupata lazima watakusumbua tuu!
Hiyo ndio CCM ndugu.
Tatizo lako wewe mbona unakanusha sana kwamba hao CCM hawahusiki wakati ndio walioniweka huku kifungoni?
Huwezi jiuliza kwanini niliondoka vyuo vyote hivyo na bado naomba msaada UN na amnesty international?
Kwa hiyo kwaakili zako unahisi nani atanihangaisha namna hii mpaka nifikie jukumu la kuja...
Siwezi kabisa mkuu hiyo ni kazi ya MUNGU.
Na sio wawili tuu... nimesema hao wawili ni watanzania niliokuja nao kama wanafunzi.
Nyuma yao kuna kundi kubwa sana la watu.
Yote namuachia Mwenyezi-Mungu.
Kumbuka huwezi shindana na walimwengu.
Nimeandika kwa kifupi kwa sababu ni mengi yametokea from 2016 yani ningeandika yote ningejaza kitabu.
Nime summarize...
Kuhusu swala la pesa naomba nikuambie tuu ni za wazazi wangu.. nimesoma kwa kwa bodi ya mkopo na tafu kutoka kwa wazazi hayo mengine siyaelewi.
Laiti ungejua maana ya dhuluma...
Chuki ya nini ndugu? kwanini hamkubali ukweli?
Kwanini mnatumia nguvu kubwa kiasi hicho?
It's real i'm agaisnt you and you know it very well so kilichobaki nadhani ni mnataka kujisafisha? right... i think so but wanasema ukijua kweli itakuweka huru.
Niwaambie ukweli tuu siwapendi... na mtambue...
Sikia nikuambie wewe nimesema nilianza kuhangaishwa chuoni huko mwaka 2016 hapo nilikua na miaka 21!
Siasa ningafanya wapi wakati ndio kwanza nilikua nasoma... na nikuambie tuu mimi nilikua sipendi siasa ili nilitamani siku moja CCM itolewe madarakani ndio maana wazee wakitengo walinisoma sasa...
This is real life mkuu.. of course nipo under tension kwa sababu nipo detained ila sijawehuka...
Nipo vizuri kiakili mkuu.
Shida yangu haya maCCM yaliyonifuatilia hadi nje ya nchi.
Ninapigwa collabo na mataifa zaidi ya sita.
Nimehifadhiwa somewhere japo ni kifungo cha nje ila kuna kazi nzito sana.
Ndugu yangu mimi mtu wa upinzani sasa hao watu wa CCM wakishakusoma na kuona huna time nao wanakuwekea vikwazo kwa namna mbalimbali kama ilivyonitokea pale RUCU na University of Iringa.
Lengo la hayo mateso ni kukulainisha ili uwe upande wao au kwa kifupi uwapende. Haina tofauti sana na wale...
Habari ndugu zangu.
Ni muda muafaka sasa kwangu mimi kuongea na ulimwengu upate kusikia maovu yote nilifofanyiwa na majasusi wa serikali ya CCM.
Ndugu zangu nilipomaliza form six mwaka 2015 maisha yangu hayakua mazuri sana kwani matokeo hayakua mazuri lakini nilikua na imani nimefaulu mtihani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.