Kwa serikali hii ya pombe inayo sumbuliwa na virusi vya ugonjwa wa ZIKA jambo lililo ipelekea kuwa na vichwa vidogo na kushindwa kuelewa mambo ya msingi,
sipati shida kuyaelewa maamuzi yake.
i.e Wanatengeza tatizo halafu wanakuja kulifanyia siasa.
Haya tuliya shuhudia kwenye posho za mbio za...
Huyu ni mwizi wa simu ila wale wezi wa EPA, ESCROW,MEREMETA , KAGODA na
BOT wali zawadiwa uwaziri kwa kuliingizia Taifa hasara na kufuata nyendo na sera za CCM
Maelezo ya Wizara hayajitoshelezi kabisa.
Ila sio kutumia pazia la watafiti wa kanisa katoliki.
Haiwezekani watu eti kwa kigezo tu cha waumini wa kanisa katoliki waingie nchi ya watu kufanya tafiti kihuni namna hiyo!!
Hapa mtaani kwangu hataniki taka kufanya tafiti ya kutaka kujua ni kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.