MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Nashindwa kuelewa kabisa watendaji wa serikali ni kutoka chama kimoja rais wao ni mmoja mtendaji anapanga kitu waziri anakuja kutengua au rais anakuja kutengua au kukanusha ina maana hata mawasiliano hawana hata namba za simu hawana za kuwasiliana kabla ya kutoa matamko kwa wananchi ?
Sisi wananchi mnatuchanganya sana ina maana hamkai hata vikao ? Ina maana mwenyekiti wa bodi ya ewura anaweza kuitisha kikao na kufikia maamuzi ya kitaifa bila ya kumtaarifu waziri wahusika? Hapana hiki kitu siyo bure au serikali hii inafanya makosa kwa makusudi ili ije kujisfisha yenyewe ? Kwa kutoa matamko ?
Viongozi wa serikali hakikisheni mnafanya mawasiliano ndani ya serikali na kuelewa ndoo mnakuja na tamko mmoja hii panga pangua serikali inapata sifa mbaya sana.