Recent content by Joseph Ludovick

  1. Joseph Ludovick

    Kenyans should Clean their house first

    By Joseph Ludovick Tanzanians are a peace loving people, defined by a history of diplomacy, order, and an unwavering respect for sovereignty. But recent events surrounding the arraignment of Tundu Lissu and the shocking attempt by a group of Kenyans led by activist turned politician Martha...
  2. Joseph Ludovick

    Homilia ya askofu wa Lindi siyo msimamo wa TEC

    He
  3. Joseph Ludovick

    Mnasemaje?

    Miye bado natafakari.
  4. Joseph Ludovick

    DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

    Tuliwaambia Lissu mzee wa Madili hamkutuelewa. Sasa endeleeni kukunja ngumi. Mwenzenu yuko anapiga dili..haya sasa mnakwenda gerezani wakati mwenzenu hayupo.
  5. Joseph Ludovick

    Kushindwa mapema kwa vita vya kibiashara vya Trump ni ujumbe tosha kuonesha hata vita vya silaha dhidi ya Hamas na watetezi wake havitawezekana

    Naona haufuatilii kinachoendelea ama umesikiliza fake news nayo hukuelewa. Trump ndo mshindi kwenye hilo sakata..mataifa 75 yanakwenda kujadili juu ya Tarrifs ndo maana ka pause.kwa siku 90. China kabaki peke yake na kalambwa 125% yeye kakomea 84.na hajaongeza.
  6. Joseph Ludovick

    Utii wa CCM Vs Ujasiri wa CHADEMA

    Katika siasa za Tanzania, vyama vya CHADEMA na CCM vinaonekana kuwa na Mkazo na mitazamo tofauti kuhusu ujasiri na utii kutokana na malengo, misingi, na itikadi zao. CCM (Chama Cha Mapinduzi) kikiwa chama tawala, kimejikita zaidi katika dhana ya utii, huku CHADEMA (Chama cha Demokrasia na...
  7. Joseph Ludovick

    PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

    Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
  8. Joseph Ludovick

    Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

    Ukiitazama kwa jicho la Masoko utaona crisis. However soko litayumba kisha litaji regulate na kuwa stable. Trump na wachumi wake kina Lutnick, na Bessent, Navaro nk wanaangalia Uzalishaji (manufacturing). Huwezi kuwa na uchumi wa maana kwa kutegemea masoko mkuu. Utakwama tu......China anazalisha...
  9. Joseph Ludovick

    Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

    Umeweka figures bila ufafanuzi. Tarrifs zinasaidia nchi kama US kwa kuvutia manufacturing industries Marekani,kuzalisha ajira kwa wamarekani..First Trumps Tarrifs kwa China ilileta billions of dollars kwa US ndo maana of all hata Biden aliendeleza.
  10. Joseph Ludovick

    Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

    Umemuona jamaa kama hajielewi..kaweka chart inayoonyesha Tarrifs ambazo US anakuwa charged na mataifa mengine. Halafu anamlaumu Trump kwa yeye naye kuweka tarrifs tena ambazo ni chini ya anazochajiwa yeye. Huyu jamaa kalishwa sana delusional nees na Fake news media mpaka haamini hata kile...
  11. Joseph Ludovick

    PreGE2025 CHADEMA yamuonya Sigrada Mligo kutumiwa vibaya na CCM

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinafuatilia kwa karibu na kinafanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA), Mh. Sigrada Mligo ili kubaini ukweli wa jambo hilo na...
Back
Top Bottom