Recent content by Joseph Kadasula

  1. Joseph Kadasula

    Naomba kufahamu hili kuhusu usajili wa nyaraka muhimu online?

    Habari za muda huu wakuu. Naomba kuuliza, je, huduma za usajili kama cheti cha kuzaliwa mtandaoni, TIN online, BRELA na nyinginezo—ni lazima upate msaada kutoka kwa wahusika, au ni suala la kuwa na ujuzi tu wa kutumia mifumo hiyo?
  2. Joseph Kadasula

    Ushauri wa biashara

    Niko moshi mkuu
  3. Joseph Kadasula

    Ushauri wa biashara

    😂😂😂😂
  4. Joseph Kadasula

    Ushauri wa biashara

    Shukrani sana mkuu
  5. Joseph Kadasula

    Ushauri wa biashara

    huko sio kuchoma mtaji kweli mkuu
  6. Joseph Kadasula

    Ushauri wa biashara

    code nzuri lakin mbona km umeifunga hv mkuu, ifungue bas angalau utoe suggetions za biashara gan
  7. Joseph Kadasula

    Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  8. Joseph Kadasula

    Mwenye uzoefu na hivi ving'amuzi vipya vya antenna ya azam

    Sawa mkuu vp channel zipo nying na kuhusu mvua vinapga kazi??
  9. Joseph Kadasula

    Mwenye uzoefu na hivi ving'amuzi vipya vya antenna ya azam

    Naomba mrejesho kwa ambaye ameshatumia decoder mpya za antenna za azam. Nahitaji mrejesho hasa upande wa muonekano wa picha,radio stations, kukwama kwa picha wkt wa mvua na upepo. NB. Ni kwa ambaye ametumia au anatumia ili feedback iwe accurate
  10. Joseph Kadasula

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama kuna group zuri la betting wassap au telegram naomba mniunge wakuu
Back
Top Bottom