Recent content by Joseph furugutu

  1. Joseph furugutu

    Vya thamani huifuata thamani uliyonayo

    “Ukitaka vitu vya thamani vije kwenye maisha yako hakikisha umeyapa uthamani pia maisha yako, hakikisha una kitu cha thamani ndani yako(una TALANTA, KIPAJI au UJUZI fulani), hauwezi kupata ajira ya mamilioni ya fedha kama hauna ujuzi fulani, uwezo fulani au kipaji fulani kinachojiuza kisoko...
  2. Joseph furugutu

    Utambulisho.

    Ahsante sana rafiki
  3. Joseph furugutu

    Utambulisho.

    Ahsante sana rafiki
  4. Joseph furugutu

    Utambulisho.

    Bwana Yesu asifiwe wapendwa, mimi ni memba mpya, naitwa Mwl.Joseph Leonard naomba mnikaribishe kama mmoja wa kundi hili, Mungu awabariki sana
  5. Joseph furugutu

    Watu hawakufuati wewe, bali wanafuata ulichokibeba

    WATU HAWAKUFUATI WEWE WANAFUATA ULICHOKIBEBA Wakati naanza huduma ya mitandao niliandika Ujumbe mmoja tu nilipouweka kwenye mtandao nilishangaa sana ujumbe kupata likes kama elfu moja na comments kama mia nne hivi [emoji117]Kilichonishangaza sana ni kuona likes na comments nyingi ambazo...
Back
Top Bottom