Recent content by JOSEPH BANKWA

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba, nimeatach na picha yangu

    Mhhh!ni hatari sana
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nguo za Mitumba

    Mitumba ni mitumba tu,hata iwe ya Tz,siyo mbaya wadau watanunua tu.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Teachers‘ Junction

    jamani mbona mnatangaza ajira kwa masomo hayo tu,hata mimi natafuta kazi niko bado chuo Dar es salaam ila naweza kufanya kazi,kwa maani niko semista ya mwisho,masomo yangu ya kufundishia ni Geography/ECONOMICS, nisaidieni.my no. 0759160780
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kila chuo na ugumu wake

    Naomba kuchukua nafasi kwa kusema kwamba kulingana na vyuo tunavyotoka kusema kweli kuna vyuo vina elimu ngumu,USHAURI ni kwamba kwa yule aneona hana msuli wa kutosha aombe kuelekezwa asije ishia kutemwa na chuo,make kuna vyuo havielewi maana y DISCONTINUE.
Back
Top Bottom