Kwa mwanasiasa timing no kitu muhimu sana kwenye maamuzi. Dr Mashinji angefanya maamuzi haya akiwa madarakani Chadema yangekuwa na maana sana. Leo ni sawa na MTU mwingine yeyote mtaani kujiunga na CCM
bigmukolo,
Kujivua uanchama kwa Kinana kama in kweli hapatakuwa na impact saana, Bali kwa magazeti front pages. Mpaka sasa uhusiano wake na chama chake in hostile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.