10% ya serikali au ya ccm? mbona tunaongozwa na VIBAKA, wanyang'anyi na walafi wasiokuwa na chembe hata kidogo ya UTU. Hiyo 10% si ingekuwa basi ya serikali ili hata cc walalahoi wa huku Magharibi tuweze kujengewa hata barabara make vumbi lilivyo jekundu mmmmh? lakini powa tu matabaka ya wenye...
Mimi ni mwanaccm halisi,
hofu iliopo ni kwamba ccm tunaweza tusipate wawakilishi wengi kama mwanzo na hili linaweza kuwa pigo kwetu na kushindwa kupitisha mambo yetu kwani sasa hivi watu walishagundua kosa walolifanya. Nafikiri mmeelewa ahsante!
sikumaliza kusoma maana naona upeo wako ni mdogo sana na huenda una akili ndogo ya kusahau kama kuku, uwezo wa Dr. uko juu sana kuliko hata yule dr fast jet kumbuka alivyomshushua pindi cha mdahalo wa uchaguzi uliopita, na pia kumbuka huyu nepi ni mtu hatari huenda akawa na kichwa cha mtu...
We naye Zoba kweli! Unaambiwa Lowassa ndiye muasisi wa maneno " MAAMUZI MAGUMU" then unasema CHADEMA wanakurupuka; sasa kwa taarifa yako kule CHADEMA kuna kitu kinaitwa "NO RESEARH NO RIGHT TO TALK" these people knows things in facts not likes Nchemba ambaye alikurupuka na kesi ya UGAIDI na...
Huyu jamaa mbona siku hizi kauli zake zimekuwa nyepesi sana au imekuwaje wada? najaribu kumfananisha na mwenzetu kule Zenji (sawasawaaaaaaaaaa ........... sawasawaaaa) maneno haya kwenye mabano hususani pindi alipokuwa akitoa hotuba hatuyasikii tena. Au kwa kuwa kakaribishwa jikoni...
Vipi kuhusu watoto wa Lwakatare wamekula nini; sisiemu wanaweza wakajiuliza swali kama hilo kweli????????? so long as Ugaid wa kamanda Lwakatare wanahusika? Mwangosi walimuua akina Lukovu!!
Wadau naunga mkono; lakini pia naongeza.
Historia itasomeka hivi:
1. Mlima Kilimanjaro uko Tanzania na si Kenya
2. Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na si Tanganyika na Zimbabwe
3.Ikulu itabakia pale maeneo ya Kivukoni na si Uwanja wa ndege
4. Polisi watakuwa watumishi wa umma na...
Kweli kabisa yule jamaa alionja asali na hakutaka ; maana kwa Takwimu hizi lazima CHADEMA ingeshinda
CCM KURA - 28000
CHADEMA - 27000
CUF - 7000
Rounded off figure;
Ila kule bado ni ngome ya CDM subili 2015 mtaona, kuna makamanda Heche, Mwikwabe nina uhakika mmoja atachukuwa jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.