Recent content by josaya

  1. josaya

    Kumbe Shomari Kapombe ni mkiristu?

    Baba yake kapombe ni mwislam safi sana ila mama yake ni mkristo shomari hajabadili dini tangu zamani alikuwa anasali St Thomas morogoro shomari ni hajawai kuwa mwislam
  2. josaya

    Zahir Zorro ni dini gani?

    Mama wa maunda ni mkristo anaitwa Angela
  3. josaya

    Maelfu wamchangia Mbowe katika kampeni ya #MwambaTuvushe ya kumrejesha madarakani CHADEMA

    Mimi mwenyewe nilipenda mbowe aachie kiti lakini nilipoangalia kwa undani na kuchanganua baadhi ya vitu zaidi mbowe anatumia akili sana kwenye uongozi tena kwenye awamu hii ya magufuli ndo maana hata Leo hali hipo hivi bila mbowe kutumia busara damu ingemwagika nyingi sana mbowe aendelee kwa...
  4. josaya

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumla mhindi sio kazi rahisi
  5. josaya

    Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Kimaitaifa kutamka kwake si vizuri kwa ustawi wa taifa itaonyesha nchi yetu usalama hakuna na ni hatari Sana Kwa afya ya utalii nchini inapaswa serikali itoe mapendekezo juu ya usalama wake ili koundoa hiyo dhana kimaitaifa. Mnaeweza kuona hakuna athari kwa macho ya kawaida ya kisiasa lakini...
  6. josaya

    Habinder Sethi aomba msamaha na kukiri makosa yanayomkabiri ya Uhujumu Uchumi

    Katubu!! Kweli hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe labda yule mmakonde ambae anasema hawezi kuchenji buku kwaajili ya njaa ya mtoto
  7. josaya

    Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

    Mimi sio mgeni na mnunuzi aliwai kununua kivuko flani pale kigamboni nacho kilikuwa kibovu hivyo shishangai sana hata hi inawezekana ni ikawa Kama kile kivuko
  8. josaya

    Kwanini Chadema wanamtetea sana Masele kuliko walivyomtetea Nassari?

    Ishu ya Masele ni kitaifa sio ya kichama Masele hawakilishi CCM kwenye bunge la PAP
  9. josaya

    Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

    hela achana nayo unaambiwa hela ni nzuri kuliko mwanamke
  10. josaya

    Rais Magufuli aondoka nchini kwenda Malawi kwa ziara ya siku Mbili, akitoka huko atapitia Mbeya kwa ziara ya siku 8

    labda ngoja nikueleze kwa kifupi vingine unaweza kutafuta mwenyewe ukapata majibu kwa kifupi Tanzania mwezi oktoba ndo mwezi rajisi kwa mambo hasa ya kiungozi ntakupa mfano mdogo nyerere alitumia mwenge kutawala na kiongozi wa Sasa kwenye jina lake Kuna alama ya mwenge ,uchaguzi oktoba,kifo Cha...
Back
Top Bottom