Recent content by josam

  1. josam

    Katibu NECTA, Dkt Said: Tutaongeza somo la Lugha ya Kiarabu na Kifaransa

    Sasa hivi darasa la saba na frm4 wanafanya mitiahani masomo mangapi vile? Mnatuhanzia inzi
  2. josam

    Tunasubiria Kuona Utekelezaji wa "No reform, No Election" ya Tundu Lissu

    No reform no election only if they don't Mwambukusi him and his team. Wait and see..
  3. josam

    PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Bonge la shule kwa demokrasia. Kuna Chama hata kushindana hakupo, ni chawa mmoja kupendekeza tu
  4. josam

    Nafasi ya ualimu

    Anaye hitaji ajira ya kufundisha English medium school akuje inbox
  5. josam

    Natafuta kazi ya kujitolea mimi ni Mwalimu wa Biology na Geography

    Ulishapata? Kama Bado inbox mep
  6. josam

    Teacher's vacancy

    Mmmmh Haiko huko ....
  7. josam

    Teacher's vacancy

    Hello Looking for teachers for Pre and Primary English medium school Requirements 1. Minimum three (3) years teaching experience in PRIVATE primary or Secondary schools 2. Education: Diploma or degree holder 3. Send your application and certificates to the mail below before 31 Jan 2025. Email...
  8. josam

    Job Vacancy

    Hello Looking for teachers for Pre and Primary English medium school Requirements 1. Teaching experience with a minimum of 3 years in PRIVATE primary or Secondary schools 2. Diploma or degree holder 3. Send your application before 31 Jan 2025. 4. Ab Send your application / CV to the mail...
  9. josam

    Kwanini Vatican haitambuliki na UN?

    Paschal, asante kwa uchambuzi wako. Hakuna nchi inaitwa au iliwahi kuitwa Tanzania Bara. Muungano huu ni fumbo. Rais wa Zanzibar akienda nchi za nje anatambulika kama Rais au namna gani?
  10. josam

    Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

    Tatizo ni wewe! Bashe ni kati ya vijana na waziri makini SANA nchi hii, anashirikisha, anadhubutu, anafikirisha, anatenda! Tungekuwa na mawaziri 5 wa aina ya Bashe, Tanzania ingeingia kwenye record ya nchi za kipato kikubwa kwa kila mwanabchi.
Back
Top Bottom