Recent content by Jorsiea

  1. Jorsiea

    INAUZWA Tunauza magodoro. Usafiri bure mpaka ulipo ndani Dar es Salaam

    Zile godoro wanapenda kuzitumia sana wenye hotel, zinakuwa na mneso sana yaani ukilala kama unaelea ivi zile ni za material gani? Na je zinapatikana wapi?
  2. Jorsiea

    INAUZWA Tunauza magodoro. Usafiri bure mpaka ulipo ndani Dar es Salaam

    Mkuu Ivi hizi godoro za springs utofauti wake na hizi za kawaida ni upi, kwa maana ya mneso je zinanesa sana au ni kawaida tu?
  3. Jorsiea

    Njombe: Tumefanya kazi na kampuni ya Pamoja Estate Farm-PFP, hatujalipwa, tumedhulumiwa

    Nawashauri nendeni shambani mkatr hiyo miche mliyopanda ili nae aone uchungu wa kupoteza fedha
  4. Jorsiea

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu umeongea vizuri sana, nishapishana sana na hizi fursa
  5. Jorsiea

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hauko serious mkuu, unasubiria 244 kweli?
  6. Jorsiea

    Mwaka wa sita mwanangu haongei. Roho inaniuma sana. Why me?

    Angalia style yake ya maisha unayomtengenezea, je anakaa sana na simu au anakuwa bize sana na TV? Je unamuwekea sana katuni? Kama unamfanyia hivyo vitu hapo juu hiyo upelekea mtoto kuchelewa kuongea, pia jitahidi kumchanganya na wenzake huku ukiwa unafuatilia maendeleo yake
  7. Jorsiea

    Rais Samia tukumbuke watumishi wa NIDA

    [emoji38][emoji38]kwahiyo kuna watu vitambulisho vyao vita expire kabla hawajavipata?
  8. Jorsiea

    Msala ambao siwezi usahau kamwe

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nimecheka sana hii stori yako
  9. Jorsiea

    Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

    Kumbe we jamaa ni mpuuzi namna hii. Kwahiyo mtu akikubaliana na hoja zako ndo anakuwa critical thinker?
  10. Jorsiea

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kanjibai ni Shetani sana yaani[emoji3][emoji3]
  11. Jorsiea

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    John yule mwenye Agrovet Mshangano mkuu? Au kuna John Mwingine tena
  12. Jorsiea

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Watu mnaweka mapene aisee
Back
Top Bottom