Recent content by Jorowe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Biashara haramu ya dhahabu inavyoikosesha serikali mabilioni ya shilingi

    Hakuna mtu ananyanyasika kama mchimbaji mdogo Tanzania Mchimbaji mdogo Tanzania anatozwa kodi ya asilimia 49.3 toka uzalishaji duarani hadi kuuza dhahabu, Asilimia 30 ya mwenye leseni Asilimia 7 ya madini Aslimia 3 ya halmashauri Hapo ni kabla hata Dhahabu haijapatikana! Ikishapatikana...
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duh🙄
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee kama kuna mtu ana mawasiliano ya Parimatch tofauti na ile namba yao ya WhatsApp nayaomba Ile ya kwao ya mezani haitoi huduma pia
  4. J

    JamiiForums Tanzania Aviator yampotezea Dismas Tsh Milioni 57 za kwenda kusoma Scholarship Uingereza

    Ni bora ingelikuwa unauecheza ndiyo unaki-control hicho ki denge lakini sasa hivi una bonyeza batani unasubiri miujiza ya eti kipae Kati ya ujinga ni hii kitu inaitwa aviator !
  5. J

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Security camera kama bulb, bei 30,000 tu

    Je inafanya kazi pekee yake bila kutegemea viunganishi vingine kama wire monitor kwa ajiri ya ku view video nk?!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya kivuko Busisi kuzingua, wananchi waruhusiwa kupitia katika Daraja la Magufuli na kuvuka kwa mguu hadi ng’ambo

    Hilo walilopita ni lile la dharura mzee ambalo linatumika kupitishia malighafi za ujenzi wa hilo daraja Lakini vilevile magari ya serikali na viongozi siku hizi hawatumii vivuko huwa wanapita tu hapo sizani kama linaweza kupitisha magari mazito then liwe threat kwa waenda kwa miguu!
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sofascore aisee ni jau sana

    Match nyingi za Afrika hazina statistics na information kamili Kwenye accuracy Hakuna app inayoweza kuifikia Sofascore kama una beti statistical results kama ball possession, foul,, corner, shots, offside utanielewa!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Siku chache baada ya Trump kutishia kuongeza Tozo, Mexico na Canada wametii amri kudhibiti wahamiaji haramu

    Trump kila anayeenda against naye tishio ni kuongeza tu ushuru,hivi bila kuuza Marekani uchumi wa nchi hauwezi kwenda?! Latin Amerika, Afrika, Asia, Ulaya na Australlia huko hakuna masoko?!
  9. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Geita inatoka dhahabu lakini Stendi yetu ya Mabasi kama Kijiji kilichotelekezwa

    Acha kumsingizia Magufuli! Ni magufuli pekee ndiyo aliifufua Geita, toka enzi za uhuru Geita hakuwa na barabara ya lami ya mtaa hata moja hadi kipindi cha JPM Ni sawa alipendelea Chato lakini aliikumbuka Geita kuliko awamu zote zilizowahi kupita wala iliyopo Na angemaliza miaka yake hata hili...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani vyeti vya ujuzi, elimu viwe na muhuri wa Mwanasheria

    Hii nchi mzee kuna watu wakiwa maofisini kwenye vile viti vya kuzunguka kila wanalofikiria huwa wanaona ni jambo njema tu! Kati ya maamuzi ya kijinga yaliyopewa baraka na Siri-kali ni haya ya mhuri wa mwanasheria!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala: Kuliko kuruhusu Kamari ni Bora tungeruhusu Bangi kwa sababu ina Faida nyingi kiafya!

    Kamari kama betting siyo shida, shida ni hivi vigorogoro vya wachina, Kampuni za betting nazo zimeona ziongeze mapato zikaleta vimichezo vya kurusha kidenge ili zivune zaidi Kwa kusema hivyo naungana na Dr Kingwangala!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Hii ni kupisha uchaguzi tu mzee baada ya hapo taratibu zote zinarudi kama zilivyopangwa
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

    Inaonesha wazi upo kitengo cha propaganda, huwezi kumhadaa anayejielewa kwa data za uongo Kawadanganye wengine wasio ijua mwanza!.
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

    Kwani ni mkoa gani ambao hawajengi barabara za mtaa?! Mkoa gani ambao hawajengi hospitali na vituo vya afya?! Mkoa gani ambao hawajengi shule?! Mkoa gani ambao hawana miradi ya maji?! Mkoa gani ambao hauna miradi ya umeme?! Acha kumpa sifa bure Mwanza ni jiji lililotengwa na awamu ya sita...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nani aniuza printer yenye uwezi wa kuprint a3 used lakini mfukoni Sina pesa ndefu yaani mamilioni

    Boss mm nahitaji photocopy machine canon IR 2520 utakuwa nayo?
Back
Top Bottom