Recent content by jorochere95

  1. jorochere95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya tumwombee mwanzilishi wa Jamii Forums

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  2. jorochere95

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  3. jorochere95

    JamiiForums Tanzania TAHARIRI: Miili Iliyopatikana Ruvu Ifukuliwe; Ben Saanane apatikane - Ni Utu Huu!

    Kila Binadamu ana haki ya kuishi.Ipo siku ukweli utajulikana hata kama ni baada ya karne nzima.
  4. jorochere95

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa kumshinikiza Gavana Ndulu aachie ngazi BOT

    Gavana yupo "smart"
  5. jorochere95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama umepitia jandoni Pitia hapa tuwasimulie vijana Dar

    Hongera Sana mkuu umenikumbusha ciku hiyo tulichomolewa mida ya alfajiri kuelekea kwa Nkariba.,,,,,,,,,,, ciwez kusimulia yote ila tulirudi hom tunachechemea ambapo kilichofuata ni kuishi kwa babu na kuhudhuria nyimbo za jando kila jioni kwa takriban ciku 30,,,,,,,,,,ni mengi ila naomba kutia...
  6. jorochere95

    JamiiForums Tanzania Jambazi ‘kinda’ afunga mtaa

    Kijana alithibitiwa na wananchi halaf baadaye akawaponyoka na kuchomoa silaha kwenye begi,,,,,! Sasa nasema wote mliokuwepo hapo ni pumbavu,,,,,,,,!
  7. jorochere95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za wadada kusema wewe sio wa type yangu huwatokea puani

    Tena akikoswa huko kanisani Anabaki ni kubadilisha makanisa kila kukicha. Wanaume siku hizi ni wa kulenga kwa manati ukicheza utaambulia kuliwa tu.
  8. jorochere95

    JamiiForums Tanzania Gari la Mbunge wa Kwimba lapigwa mawe

    Maisha magumu, watu Wana njaa hawajala halaf unawagawia majembe hiyo ni dharau.
  9. jorochere95

    JamiiForums Tanzania Miili sita kwanza ilizikwa kimyakimya na mwili wa saba nao ukazikwa kwa namna hiyo, kwanini?

    Watoe maelezo ya kina kwa sababu huwez kufanya mazishi ya milli iliyookotwa Bila kutoa taarifa kwa umma na kutoa Muda kwa umma kuweza kushiriki katika kutambua marehemu hususan waliopotelewa na ndugu zao.Wahusika wajitokeze na kufafanua ili swala kisheria ili kuondoa hii sintofahamu iliyotanda!
  10. jorochere95

    JamiiForums Tanzania Tamko la Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) kuhusu suala Ben Saanane kutojulikana alipo

    Nashindwa kuelewa kwa nn mamlaka husika zipo kimya?
  11. jorochere95

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa TV mjifunze jinsi ya kuvaa

    Hawa TBC Wana matatizo mengi Sana! Hata Vichwa vya magazeti vinasomwa kwa kugeuzwa ni sheeda bin taabu
  12. jorochere95

    JamiiForums Tanzania Wakristo Wenzangu Hivi Kumchezea Mungu Ndombolo, Sebene Na Kwaito Alituagiza?

    The bible is very clear only that pple(singers)do exaggeration !
  13. jorochere95

    JamiiForums Tanzania Wakristo Wenzangu Hivi Kumchezea Mungu Ndombolo, Sebene Na Kwaito Alituagiza?

    Mkuu wa kulaumiwa ni shetani. Waumini hawana kosa!
  14. jorochere95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume 'msio na pesa' hapa tu ndo mnapokosea

    Mtu wako hana pesa ila wanaume wanapesa.
Back
Top Bottom