Kiongozi tuliyenaye sasa hivi hakuchaguliwa na wananchi bali ameingia kwenye nafasi ya urais kama replacement. Hiyo ni sababu tosha ya kuongeza ulinzi. Bado, ukilinganisha hali ya kiuchumi na kisiasa kwa sasa nchini ni wazi Rais ameongeza maadui wengi zaidi kuliko kipindi ameingia madarakani au...
Na hiyo ndio maana ya mimi kutumia neno "Very Advanced."
Je unadhani sisi tupo Advanced vya kutosha kwenye sector ya usalama wa Kitaifa ukilinganisha na Marekani?
Huo ulinzi uliouna bado hautoshi. Rais ni taasisi sio mtu mmoja, ni uso wa Nchi. Kwa wenzetu kwakua wapo very advanced kwenye sector ya ulinzi sometimes inakuwa ngumu kuona idadi yao kamili. Lakini kuna uwezekano walinzi wapo kila sehemu na wengine huwezi kuwadhania. Dunia sio pepo na hata iweje...
Hapana sijamaanisha hivyo, hiyo ni only applicable kwa wenye uwezo wa kupata watoto.
Watu wasio na uwezo wa kupata watoto haimaanishi hawataki watoto, wanataka kupata watoto but there's no other way around.
Kama mnaona alafu hamtaki watoto then kwanini muoane?
Si muishi tu kama girlfriend na boyfriend ambapo main goal itakuwa ni sex then at the end everbody dies alone which sounds nonsense to me.
Naturally marriage is all about family and by family I meant having kids.
Kutokana na harakati za maisha ya kila siku bila shaka watu wanatembea zaidi ya km1 kila siku.
Hivyo hiyo ya kutembea km1 kila jumamosi itakuwa njia nzuri ya kusambaza ugonjwa ukichangia mtakuwa mkitembea pamoja kwa karibu which is highly unsafe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.