Nina gari aina ya Toyota dyna ton 3,tatizo lake nikwamba nikiwasha tu ,ninapokanyaga mafuta maajia yanapulizwa kuja juu kwenye rejeta,nimebadili head gasket,nimesafisha rejeta lakin bado,na haichemshi,.
Gari yangu aina ya Toyota Dyna Ton 3 na nusu ,ilikuwa na engine ya 13B,ikapasua block piston zikatokea mbavuni,nime overhaul lakin inanizingua ,ila kuna sehemu nimepata engine ya 3B NEW ,je itafaa ukilinganisha na 13B,kwa anaefaham kuhusu 3B tujuzane
Nahtaji Ku upgrade simu yangu kitoka android 5.0 lollipop kwenda 5.1 lakn system update inasema is the latest vision, naweza kutumia njia gani nyingine?
Habari zenu wadau nina gari yangu Toyota dayna ina engine 13B(diesel)huwa inatoa moshi wa blue asubuhi na ikitembea unakata ila ikisimama tena kipindi ipo idling unauona kwa mbali,nn tatzo wakuu
Je ni muhimu kwa gari inayokula oil baada ya muda Fulani kuwekewa STP,na je inasaidia kukata tatizo la kula oil kwa gari iliyofungwa ring mpya?msaada wenu wakuu
Iko hivi baada ya kufunga ring piston mpya,pamoja na piston gari ilikaa silence kwa muda wa saa moja,ndipo nilipogundua kuwa oil ina bleez kwenye intake manifold inapounga hors ya air cleaner. Je naweza kutumia STP ili itengeneze seal between cylinders and piston ili iache ako kamchezo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.