Toyota dyna

Jordan jacob

Member
May 28, 2016
26
4
Wakuu gari yangu ina bleez oil kwenye vaccum ya intake manifold inapounga horse ya aircleaner nini tatizo?
 
unaweza ukawa umeweka piston ring mpyaa lakini kwenye ufungaji umekosea kidogo hasa kwenye kutofautisha ukaaji kati ya rings 1 na zingine .usije ukawa uliziweka gap zake za mwisho kwenye line 1
 
Back
Top Bottom