Jordan jacob
Member
- May 28, 2016
- 26
- 4
Iko hivi baada ya kufunga ring piston mpya,pamoja na piston gari ilikaa silence kwa muda wa saa moja,ndipo nilipogundua kuwa oil ina bleez kwenye intake manifold inapounga hors ya air cleaner. Je naweza kutumia STP ili itengeneze seal between cylinders and piston ili iache ako kamchezo?