Binadamu wengine kwa kupenda sifa amjambo,huyu mtoa mada anajiona ni bonge la handsome,ukijieshimu, na wewe utaeshimiwa.mtu mzima akikuambia jambo tulia kataa usimtangaze.
Lazima kusaka madaraka tungoe ufisadi mikataba ya kujenga bandari nyumbani kwa rais,uwanja wa ndege kodi migodini pesa za meremeta,na wapelekwe jela wote walioingizia tanesco hasara.
Makonda amechoka na amechoshwa na wakuu wake.wakubwa wa ccm ni waoga wanabweka awangati,nasema hata kama Makonda kahandikiwa ameonekana anauwezo wa kusoma na kusema.kukomaa au kuoneana aibu ndiyo umasikini tulionao ktk nchi hii leo.nampongeza makonda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.