Recent content by Joram kiango

  1. J

    JamiiForums Tanzania ITV mshaanza kuiiga TBC?

    Kituo cha i.t.v ktk taarifa za habari wana mtindo wa ku pitisha maneno ya habari zilizomo, usiku huu nimeshangaa habari ya kuhusu kesi ya lema na mulongo imeyeyukia hewani bila kurushwa. .sitaki kuamini i.t.v nao wanatumikia serikali na ccm kama tbc. Ila nina imani kuna mtu kapigiwa simu akipewa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tumbo langu lina gesi

    Angalia serikali isije ikajua watakuletea wawekezaji wa kizungu au wakichina
  3. J

    JamiiForums Tanzania Bcom in finance UDOM

    Nimechaguliwa hii programe ila cjui chochote na prospectus ya udom inazingua. Naomba ufafanuzi kuhusu bcom in finance course gani ziko ndani yake, soko la udom kwenye hii programe na ukimaliza unaweza fanya kazi gani. Ahsante.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Laptop ni muhimu kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza??

    kuna mtu kanishauri hivi mh. .
  5. J

    JamiiForums Tanzania Laptop ni muhimu kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza??

    Nunua flash uwe unagongea pc kama huna uwezo wa kununua. .
  6. J

    JamiiForums Tanzania Laptop ni muhimu kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza??

    Kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza anae chukua bcom in finance ni muhimu awe na laptop??
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya vyama vya upinzani ya Sept 21, 2013

    Mbinu za ccm kuwaogopesha wananchi wa dsm wasijitokeze.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Bcom of finance ya udom vs accountant vyuo vya biashara

    Eti wakuu . .kati ya hizi mbili bcom of finance ya udom na a/c ya vyuo vingine vya bussines. Kip bora
  9. J

    JamiiForums Tanzania Bcom of accountant <udom> VS accountant <ifm/cbe/tia>

    Eti wakuu . .kati ya hizi mbili bcom of a/c ya udom na a/c ya vyuo vingine vya bussines. Kip bora
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ujio wako Mh. Waziri Mkuu hapa Karatu

    mbumbumbu wa siasa wewe. . .dr.slaa mbunge wa wapi? Kama hujui jambo kaa kimya
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

    Bro ritz Watoto wa mwalimu nyerere na bibi yetu vipi MKILA NATIONAL CAKE mnawagawia ? ? ? Na nyie wana jamvi je . .? Baba kama nyerere na baba kama kikwete yupi bora?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Miji kumi hatari Duniani 2013

    Makao makuu ya chama . .Lumumba dar . . .hatari kabisa pale.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba chuo bila kupitia t.c.u

    tcu nili aply nimepangiwa kusoma i.t muccobs na bodi ya mikopo nilituma maombi tayari. . .
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba chuo bila kupitia t.c.u

    Tcu deadline imepita alafu kwenye vyuo walivyoeka watu wafanye transfer ni aidha chuo kibaya au kozi mbaya infact nataka kusomea dar kwani mkoani nkikosa loan cjui itakuaje. .n what if cna ile point 0.5 ya gs tunaweza negotiate?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba chuo bila kupitia t.c.u

    Naomba msaada wa jinsi ya kuomba chuo bila kupitia t.c.u kwani kwenye slots vyuo vingi vizuri havipo na kuhusu mkopo itakuaje?
Back
Top Bottom