Recent content by joram edward

  1. J

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Watanzania wengi tunapenda kuangalia ligi kuu ya English mngeonyesha ingekuwa poa sana kwani mngejaza wateja mpaka balaa.
  2. J

    Kama Wazungu walishindwa Itakuwa Lowassa?

    Hakuna ccm wala ukawa wote wababaishaji tu sema sisi wtz vichwa vyetu maji.
  3. J

    Kwanini madirisha ya choo hujengwa madogo?

    Nauliza kitu nisaidie wadau nina rafiki yangu ana mchumba wake yaani kamsomesha chuo ndio anamaliza mwaka huu mwezi wa saba.Jamaa alipeleka barua juzi lakini mama yake demu katoa nje hataki coz wakristo wote ila madhehebu tofauti na dingi yake demu haongei mama ndio last say. Halafu kinachoumiza...
  4. J

    Uliza Kiatu - H_art the Band

    Ni kweli hata wanaume na sisi tuna majanga utakuta mchizi anafanya vitu vya ajabu. Lakini akifanya demu jamaa anamaindie
Back
Top Bottom