Wana JF pia tukumbuke kwamba kiimani kile unachoamini ww sio imani ya kila mtu,kila mtu ana imani yake ambayo kwa muhusika ndio anaona ni sahihi.Kama wangekuwa wenzetu waingereza wangesema (Faith Relativism)
Ray unataka kuleta ujumbe gani katika jamii kwa hiyo filamu yako?,tunaposema msanii ni kioo cha jamii jaribu na ww kutuonyesha kwamb ww ni kioo cha ukweli si cha uwongo.Chukua hatua kaka fanya kazi zinazokubalika na wadau ili uweze fanikiwa
Salamu na kwako,mm ninachoweza kukushauri ni kwamba ungeomba internet configurations upya kutoka kwa mtandao wako wa simu unaotumia,inawezekana kuna mtu alifuta setup.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.