HTC desire Hd inanipasua kichwa naombeni msaada!!!!

HTC desire Hd inanipasua kichwa naombeni msaada!!!!

banzy

Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
22
Reaction score
154
Habari zenu wakuu!!
Natanguliza shukrani Nina smartphone ya HTC desire HD A9191 inatumia android version 2.3.5,tatizo lake ni kwamba cwezi kuingia kwenye applications zake nyingi nilizodownload zamani kama whatsap,Twitter,yutube n.k hata playstore sasa hv inakataa inaload mda mref then inasema connection error,zamani nilikua naweza kuingia bila ttzo,sasa hv na2mia uc browser ndo inakubali kuingia net,naombeni msaada wa ushauri kama ninaweza upgrade hii os au nifanyeje?
 
Salamu na kwako,mm ninachoweza kukushauri ni kwamba ungeomba internet configurations upya kutoka kwa mtandao wako wa simu unaotumia,inawezekana kuna mtu alifuta setup.
 
Tutumie post heading zenye maelezo jamani!! Fanya factory reset, nenda settings, privacy, kisha factory reset. Hii itafuta Kila kitu kwenye simu so hakikisha unable backup unachokihitaji kwenda kwenye pc, pia ningekushauri kuformat sd card.
 
me naona ni bora afanye setup nyingne kwenye internet server ya mtandao anao2mia akifomat,anaweza kuja na tatizo la kukosa play store ambapo itamlazma akaroot phone yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom