Ni kweli usomi sio kujua kiingereza. Ila msomi anajua aongee nini, wakati gani na aongeeje. Kama hujui kiingereza huna haja ya kujiongelesha lugha usioielewa vyema wakati unaweza ukatumia lugha unayoielewa vyema (Kiswahili) ukaeleweka?
Huyu jamaa anajitahidi sana kwenye Taqqiya. Anawachota sana wakariri kiarabu cha quran pasipo kuelewa kitu. Hana ubavu wa kujadii hoja nzito na wanaouelewa uislam. Ukimbana kwenye angle anatoka nduki nene.
Mwenye kelele hapa ni nani? Wewe usiyefahamu kitu ulieambiwa mbinu ya kufahamu usichokifahamu na bado unabishabiana ujinga au mimi niliyekuambia kila kitu cha kufanya ili upate ufahamu wa usichokifahamu?
BTW ukitaka kuthibitisha kama mwili una malaria unaenda hospital, maabara kwa ajili ya...
Maandiko matakatifu yanasema mpingeni shetani naye atawakimbia (Yakobo 4:7). Huwezi kumchekeackekea shetani kwa kujifanya ati uko Neutral, atakufanya vibaya; There is YHWH's way or no way, hakunaga alternatives.
Brother Isaiah alituhusia hivi " Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama...
Kama wamezunguka Tanzania nzima wasingekuja na hoja nyepesi namna hii. Waende hapo Bariadi sasa tuone kama kauli zitaendelea kubaki hivi hivi.
NB.
Hiyo location ni kwa majunior Witches & Wizards kwa ukanda huo. Ila hapohapo panatosha kabisa kujithibitishia namna uchawi unafanya kazi. Muda wa...
Hawa vijana wanajifanya wajuaji sana. Mimi nasema hivi na aende ikiwezekana aende na cameraman awe afar akirekodi maana hawa vijana si ni macontent creator; ili tuipate hiyo content of proof hapa jukwaani.
Huwezi kushindwa kuelewa swali lile la "Je ni Mungu amewatuma au ni serikali imewatuma." uweze kuelewa report kwa level ya hadi kuwaelewesha wengine. This does not make any sense.
BTW huwezi kuwa na akili timamu halafu ukawa follower wa nabii Tito wa uarabuni wa wakati huo (Mudi).
Kuprove kupo kwa aina nyingi, binafsi uchawi na namna unavyofanya kazi nimeweza kuprove kwa kujionea mwenyewe on field na sio kusimuliwa. Binafsi nimeshajionea live live na nikikusimulia unaweza kudhani nakupigia story za kusadikika ndio maana nimekuambia ni vyema na wewe ujithibitishie mwenyewe...
Maneno mengi ya nini kuchosha keyboard, nimekupa location uende ukathibitishe habari za uchawi kama ni halisi au za kusadikika. Acha mboyoyo mingi nenda ukajionee mwenyewe.
Maneno yangu yasiwe mengi sana. Huwezi kusema kitu kipo au hakipo bila kukiverify wewe mwenyewe. Mimi ntakupa location ya kwenda kuprove kuwa uchawi upo na nna hakika majibu utayapata ila kibaya ni kuwa hutaweza kuja tena kutoa mrejesho hapa jukwaani kuwa uchawi upo au la; but personally utakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.