Recent content by jones26

  1. jones26

    I want to buy a car!!

    Toyota ist 2004 model is the best
  2. jones26

    Team ALTEEZA

    Alteza 4ward engine 4 cylinder ulaji wake wa mafuta ukoje
  3. jones26

    Alteza 4ward engine ulaji wake wa mafuta ukoje

    Habari wanajamvii hili nilikuwa nataka ninunue altezza 4ward engine 4 cylinder nilikuwa naitaji kujua ulaji wake wa mafuta ukoje kwa 1 Lita ni km ngapi
  4. jones26

    Msaaada wadu kuhusu

    Habari zenu wadau nimenunua gari nataka kuisafirisha kupitia scania sitaki kuendesha inatoka dar kwenda Mwanza Ina gharimu shilling ngapi kwaajili ya usafirishaj
  5. jones26

    LANDCRUISER V8 PICK UP

    Inshaaalah
  6. jones26

    Msaaada kuhusu biashara ya lubricants na spare

    Habari wanajamii forum nilikuwa nataka nianze kufanya biashar ya kuuza lubricant na vifaa vidogo dogo vya Magari na piki piki ila sina uzoefu na biashara hii.. Nilikuwa naomba msaada wakujua lubricant zipi ninue ambazo zinaitajika kwa wingi pia spare parts ndogo ndogo Kama bearing, air filter...
Back
Top Bottom