Recent content by Jonathan ishengoma

  1. J

    Msaada kisheria kuhusu pingamizi mahakamani

    Madai na bado iko hatua ya kutajwa bado kusikikizwa ila nimeona mapungufu kwnye documents kadhaa
  2. J

    Msaada kisheria kuhusu pingamizi mahakamani

    Je pingamizi LA awali laweza kuwekwa hata baada ya kesi kuanza?
  3. J

    Anayestahili kumjibu Kakobe ni muhusika anayetakiwa kutubu! Suala la kiroho haliwezi kujibiwa kisiasa

    Katika mpangilio WA misa kanisani kuna kipengele cha kutubu......."NAKUUNGAMIA MUNGGU MWENYEZI NANYI NDUGU ZANGU.........
  4. J

    Nataka niende Moshi na Boxer X150 nipeni ushauri wakuu

    Vaa nguo nzito za kuzuia upepo.HADI soksi za mikonomi.anza safari mapema saa 11.hakuna haja ya kumwaga oil maana ni km 565 .pumzika kila ukijisikia kuchoka.hasa kila baada ya km 100-150
  5. J

    Expansion joints kwenye miradi ya Ujenzi ni kitu gani? Tuendelee kujielimisha

    This is an expansion in volume which occurs due to change of temperature.this phenomena is easier visible in liquids and gaseous matters than in solid matters.that is why a bottle of soda is not filled up to the lid and if a soda is kept in a fridge for long time the bottle cracks.NEXT TOPIC IS...
  6. J

    Tuitafakari hii shuka-panda-shuka

    JAMBAZI ALIINGIA KANISANI NA SILAHA.AKAANZA KUFYATUA RISASI.WAUMINI WENGI WALIKIMBIA.WAZEE WA KANISA NA WANA KWAYA WAKABAKI.JAMBAZI AKAWAGEUKIA NA KUWAAMBIA.ENDELEA KUSALI NILIKUWA NAWAONDOLEA WANAFIKI WALIKUWA WANAJAZA KANISA TU
  7. J

    Katibu Uenezi Wilaya ya Hai(CHADEMA) na Mgombea Ubunge Jimbo la Bumbuli watimkia CCM

    HII HAMA HAMA INANIKUMBUSHA KISA KIMOJA.JAMBAZI ALIINGIA KANISANI AKAWAAMBIA WAUMINI YULE ANAYEAMINI MUNGU YUPO AENDELEE KUBAKI KANISA HUKU JAMBAZI KANYOOSHA BUNDUKI KWA WAUMINI KADHAA.WENGI WAKATIMUKA WAKATOKA NJE.WAKABAKI WAUMINI WACHACHE.JAMBAZI AKAWAGEUKIA WALE WALIOBAKI.AKAWAAMBIA ENDELEENI...
  8. J

    PICHA: Dr Shika kwenye kampeni za CCM leo

    Tanzania tumebarikiwa VIVUTIO VINGI basi tu penye miti hakuna WAJENZI
  9. J

    Waziri Mpango: Rais Magufuli amenipigia simu kuhusu michango ya Bashe na Nape Bungeni

    Mtoto MDOGO aliomba mkate kwa baba.baba akachukua mkate kauweka juu ya kabati.akamwambia mtoto :KACHUKUE ULE PALE.
  10. J

    Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

    O inafanana na o yaani aeio na 1234567890 hivyo ili kuondoa confusion bora kuacha.pia I na 1 pia majina ambayo si lugha nzuri kutamka ikifika wataruka kama T123 U*E
  11. J

    Bomoabomoa Mwanza: Rais Magufuli omba radhi kama....

    Three women one husband theorem. Before you speak ask yourself TO WHOM ARE YOU SPEAKING TO,WHAT,WHERE AND WHEN.
  12. J

    Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

    Mlikaa na MTU mchafu hivi? JE mlijua lini uchafu wake? Mbona HAMKUSEMA WAKATI HUO?
  13. J

    Mengi yazidi kuibuka kuhusu Nyalandu

    Angeendelea kukaa huko haya yasingesemwa.Katoka nayo YANATOKA.SIASA SI HASA
Back
Top Bottom