Recent content by Jonash

  1. Jonash

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye Maziwa yaliyosimama (Saa 6) hayana Hisia

    Mkuu utakua unakutana labda na wanaoanza kuchipukia miaka 8 hivi... Saa 6! ! !
  2. Jonash

    JamiiForums Tanzania Hii simu ndogo ya tochi inatubeba sana

    Kwenye simu ndogo hamna ujumbe na picha kwa pamoja, kwo ata akikuta ujumbe unaweza ukawa batili. Ujumbe mzuri unasindikizwa na picha. Mahakamani ushahidi ndo kitu muhimu kuamua kesi.
  3. Jonash

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnapokuwa mnafikia mshindo wa Kingono lolote utakaloambiwa uliseme unafyatuka nalo tu?

    Hongera kwa kunukuu,una nukuu sana mkuu btw labda conciousness huamia kiunoni na akili inafanya mambo pasipo muongozo
  4. Jonash

    JamiiForums Tanzania Nimeiba chupi ya mke wangu

    Pichu unaenda kuifanyia nini? Je ikianguka au vibaka wakikuibia begi afu wakaitupa na mchawi akaiokota?
  5. Jonash

    JamiiForums Tanzania Wanaume kugoma kwenda kupima, wanawake tufanyeje?

    Mpaka unafika geto hujui kilichokupeleka? Kwanini mara mbili mlizokutana msingeenda kupima? Eti mkuu...
  6. Jonash

    JamiiForums Tanzania Fungi la kukosa unalitaka mwenyewe

    Inasisimua
  7. Jonash

    JamiiForums Tanzania Mume wa mke niliyempa ujauzito ananitafuta anipongeze

    nenda
  8. Jonash

    JamiiForums Tanzania Mke wangu simwelewi kabisa, ananilazimisha niwe na mchepuko

    Pole mkuu...pole sana
  9. Jonash

    JamiiForums Tanzania Shemeji kasema tukitaka hela kwa kaka yetu tumuone yeye na sio kaka

    Sasa mkuu mambo yk na brother yanafikaje home?
  10. Jonash

    JamiiForums Tanzania Huyu ni kaka wa wife kweli? Au nimeingizwa mkenge?

    Uyo binamu wa wife anatokea humu humu..msake anakuibia
  11. Jonash

    JamiiForums Tanzania Nahisi nategwa sababu sijui lengo lake

    We jamaa...cjui unataka bahati ya kupata pesa iwe mpaka uokote!?
  12. Jonash

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

    Una jini
  13. Jonash

    JamiiForums Tanzania Bakora hazimjengi mtoto kinidhamu

    Bakora zinasaidia sana iwapo mtoto ataadhibiwa kwa kiwango anachostahili kulingana na umri...
  14. Jonash

    JamiiForums Tanzania Ndoto

    Habari, Hivi karibuni nimekua nikiota mara nyingi jambo moja ambalo limeshapita...huwa nipo shule nasoma,either advanced au ordinary levels wakati nimeshamaliza...hii hali imekua ikinitokea mara nyingi sana mpaka najiuliza kwanini naota ndoto ya aina moja mara nyingi? Mwenye kuweza kufahamu...
Back
Top Bottom