hilo suala la mgawo mbona rwekiza alisema hakuziona? tangu siku ile pelekeni ushahidi pccb na mbowe andai anao apeleke sasa tunahitaji matendo siyo maneno ya polojo hapa bwana
jamani hilosuala tanesco wamepeleka EWURA ili kufanyia uchambuzi mbona maelezo yenu utafikiri tayari imekubalika ? na si mara ya kwanza Tanesco kutoa mapendekezo kama hayo na kukataliwa avoid to make conclusion before authorization
Nyie hivi tangu lini ukamuwekea chui pembe za mbuzi kichwani alafu unajindanganya kuwa mbuzi now lowasa hawezi kubadirika ukawa wanajikaanga wenyewe kumuweka lowasa as a candidate.
Atakae muunga mkono lowasa apimwe akili yake hii kauli aliwahi kuitoa mch peter msigwa mbunge wa iringa mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.