Recent content by Jonalicho

  1. J

    Kitu gani kinaendelea Baa za Dar?

    Ingetosha kusema ni mshamba au umri au ila uko kwengine unakosea sisi uku ziwani tunaelewa kwann wanabadilishwa kila baada ya miezi miwili au mitatu!!!
  2. J

    Kuelekea 2025: Hawa wafuatao bora niharibu kura yangu kuliko kuwachagua

    Ujinga mtupu!!! Ungeandika na uwatakao ili tujue huna uchama chama mana kwa haraka tu nishaona una uchama fulani ambao umeuficha kwa kuchimbia kichwa chini nakuacha matako juuu
  3. J

    TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

    Apumzike kwa amani japo Ashakula kula chunvi ya kutosha, acha charls naye atambe
  4. J

    Most admired brands in Africa, hakuna brand ya Urusi hata moja

    Ata mm wa mwanagati mwanza katikati ya jiji la arusha uku kwa ndani karibu na lindi nashangaaaa
  5. J

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bosi hyo over(15.5) inamaanisha nini?
  6. J

    Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    hayajakukuta bado ila watu wanalala mpaka na wanawake chumba mimoja hii kitu maisha achana nayo ukipata shukuru mungu
  7. J

    Chakula kipi uliwahi kutana nacho ugenini ukajutia ugeni wako?

    aiseee sukuma wiki na ugali wa wanaume wa dar ulinitesa sana kuuzoea yani mpaka leo ugali nakula home tu wa migahAwani mm naona ni uji tu!!
  8. J

    Tunashabikia lakini Ukraine wana hali ngumu sana

    Naungana na huyu shetani ivi ushaona hali ya syria?!!! Umeona yemeni?!!! Je libya kumetulia baada yq nato kumtoa dicteta?!!! Acheni unafki acha wafe nao. Jirani yako kongo kila kuchwao raia wanakufa hamsemi ila mabeberu yakilalama mnaunga tela kama wanasesele!!!!?
  9. J

    Tunashabikia lakini Ukraine wana hali ngumu sana

    We umenena jamboa kufikirisha sana!!! Japo mrusi naye hatumii silaha zake za maangamizi!! Kiufupi hii mission ni ya akili ya akili sana!!!?
  10. J

    Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya CHADEMA dhidi ya Sabaya?

    Kuna watu mpaka saivi wana mahaba ya vyama huwaambii kitu yani hilo gazeti ata liandike utumbo gani!!! Yeye atautetea kwa hali na mali!!!
  11. J

    Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya CHADEMA dhidi ya Sabaya?

    Kuna watu mpaka saivi wana mahaba ya vyama huwaambii kitu yani hilo gazeti ata liandike utumbo gani!!! Yeye atautetea kwa hali na mali!!!
  12. J

    Nimeingiwa na hofu kufuatia wizi wa madirisha site

    Ukishaanza kuweka bati na ukaweka grill weka mtu akae hapo saiti mana bora huyo dirisha wengine wanabebewa wireling ya nyumba nzima ukitaka kujua utamu wake nenda dukani kanunue vifaa vya umeme uone kiboksi unachobeba afu hela unayoachaaaa sas
  13. J

    Mlango wa nje unatakiwa kufungukia nje au ndani?

    Ni kweli!!! Je kama msaada unatoka nje!!!? Tafakari hamna bora nje wala ndani ni machaguo yako tu!!!
  14. J

    Gharama ya kuweka shoti

    Sahihi kabisa ila kuna wanaofanya mpaka 20000 kwa mita ila electrics fenc unatakiw utafute mtu mwenye ujuzi usiangaalie bei hizo waya mara nyingi huwa zinalegea kutokana na kutokuvutwa vizuri ndo zile unapita sehemu zimening’inia kama bembea unapata hasara marekebisho mara kwa mara.
Back
Top Bottom