Recent content by Jonah PHuey Rodney

  1. J

    Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

    "Part of the past don't fit the script for the future memory" -Fareed
  2. J

    Je! Mungu ni yule yule?

    Nukuu ya Adolf Hitler..."It is easy to fight knowledge than to fight faith" Na nnachoona hapa huyo jamaa ana knowledge ndo maana anatumia facts,lkn wanaomjibu wana Imani tu bila knowledge,hvyo wanakosa facts na kuishia kutukana tu. Anyway...mambo ya kiroho ctakag kubishana..Nbak tu na Mungu...
  3. J

    Uzi maalumu: Picha Tu za maendeleo mbali mbali ya ujenzi Tanzania nzima chini ya Rais Magufuli

    Ahahhaa...huyu jamaa ndo anakuaga serious na mambo yenye maana. Hiv hawa madogo unakuja kuwahadithia fly overs kwenye hali kam hii watakuelewa kwel!!?
  4. J

    Je, huyu kwenye picha ndio Yesu Kristo?

    Duuh...hapo 2shushe ase...huyo mwanamke cjawah kumckia kokote kwenye biblia. Em taja na sehem kwnye bible walomuonesha. Maana aliyemsaidia Yesu msalaba ni Simon Mkirene.
  5. J

    Baada ya Rais Magufuli kufanikiwa kuua upinzani vyama. Sasa kaibua upinzani Umma

    Huu ndo uwoga wenyewe uliotajwa hapo sasa. We kama hutaki lala chumban. Tukianza kufikiria kufa au kufeli kabla hata hujachukua hatua huwez ukafanikiwa hata siku 1.
Back
Top Bottom