hakika twajua kuwa tutakufa: but lini, wapi, namna gani imebaki ni siri ya muumba. olesaidimu kumbuka safari ikiisha pangwa, si uzio wa umeme, mlinzi wa kimasai, mbwa mkali wala tunguri na silaha za kisasa zaweza kuzuia.
wafuasi wa chadema wa siri hawako mitaani tu, Wegine wako bungeni wakitaka kura za siri. hivyo mkuu uliyeleta hypothesis uko sahihi. waachie wengine watakuletea data.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.