Kwa wale waliochaguliwa kujiunga na shule ya Sekondari Mwendakulima iliyopo Kahama mkoani Shinyanga mnaweza kudownload fomu ya kujiunga pamoja na sare na mishono.
JF moderators naomba msaada wenu wa kuipin hii post ili kwa Wale wanafunzi wanaopiga simu ya kuomba joining instruction niwe...
Hakuna cha press conference hapa,baba askofu GWAJIMA tusaidie tu kurusha makombora hii jumapili ili tuufahamu ukweli wa suala hili kwakuwa wewe ndiyo sauti pekee inayopaa tokea nyikani.
Heshima yote tuliyompatia ROMA hajaitendea haki,watakapotekwa tena hakuna atakayewalilia,acha waendelee na...
Yaani we unasubiri hadi 2020?mtumishi gani wewe na wakati wenzako hatuna presha na wala hatuhitaji nyongeza.Waache kabisa ila outcome yake wanshindwa kuitamka hadharani.
Outcome huwezi kuitambua hadi ufanye utafiti.
Mwigulu ulichokiamua ni wazo zuri,ila IGP atakapoamua kukaa kimya na asituletee mrejesho sisi watanzania tunaowalipa mishahara yao kupitia kodi zetu utachukua hatua gani?
Majibu Tafadhari!
Kinachoangamiza taifa hili ni unafiki tu.Tunapenda kuishi maisha ya kujikombakomba hata kama mtu ana elimu ya kueleweka,matokeo yake tunaishi maisha ya huzuni na kukosa furaha sababu ya utwana wa kujikomba.
Sasa ni jana tu na kurudi nyuma ulikuwa unashambulia watu wanaomkosoa Nape alipokuwa na...
Baba Askofu Gwajima usisahau kuvunja miamba jumapili ya wiki hii kama kawaida.Mungu yuko upande wako ndiyo maana amemuumbua shetani aliyekuwa akikuvizia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.