Recent content by jokotinda_Jr

  1. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume watamu sana!

    Huu ni mtego 🏃🏃
  2. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

    Msomeshe kwa makubaliano maalum maisha yana badilika ndugu ... usipo angalia huo ni mtego katika maisha yako
  3. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

    Ukitulea swali kama hili outomatic tutakushauri kuwa mchumba hasomeshwi ...... ngoja nikushauri ivii ..... kama hutojali mtafte mwanasheria andikisha neni ... mta andikishana nini mtajua nyie ila lazma uthibitisho flani uwepo kama mlikubaliana kwa mandishi kisheria ....utanishukuru badaye
  4. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

    Nlicho kiona jaji ana jibu hoja nyepesi anakwepa maswala ya mikataba na na kuondoa wasi wasi wanachi kwa kujibu hoja zao
  5. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Sijui hapa nishauri nini kwa wapenzi hawa?

    Kuoa mwanamke wa chuo siyo shida inategemea na jinsi mlivyo ivana .... kama mwanaume lqzma upime kwwnye mizani yako mfano ukisha ona ishara kama hizo tangu mwanzo uanze kujitafakari dhahiri hapo inaonekana ni watu wasio endana ni hatari sana kumwka mwanamke kama huyo ndani
  6. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sura ina nafasi yake
  7. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu angekua na akili ningemfungulia hii biashara

    Biashara ya kusimuliwa haijawahi kuwa na hasara ni wew tu namna ambayo utakuwa umejipanga
  8. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wew jitie kihere here siku dada anafukuzwa hapo na wewe utajua hujui ..... niseme tu ukweli sisi wanaume tunatofautiana sana kwanzia mtazamo mpaka tabia ...... hvi ntanzaje kukaa kwa dada yangu alafu bado niwe na ujasiri wa kumendea beki 3 ......seriously.... pia hii inaonekana kama story ya...
  9. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Kama msichana hakutaki kabisa na wewe unampenda kupita kiasi unafanyaje

    Wew ni mwalimu una feli vipi mtihani mdogo kama huo ..... TAFTA PESA NDUGU
  10. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Jifunzeni kuwapa wapenzi wenu vya gharama

    Kwanza mmi bado na mini katika mnyanduano anaye sikia raha zaidi huwa ni mwanamke anaye pinga aje na hoja
  11. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Jifunzeni kuwapa wapenzi wenu vya gharama

    Hili tangazo limekaa kimkakati sana
  12. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Ameniambia nikifika Tanzania atanipeleka haya maeneo. Nitafurahi Sana na ni Raha kuu

    Sema umeamua kutuchekesha any way hapo kwa mpalange ndo point yangu ilipo nakusisitiza tu wakati unaenda usisahau vaseline .....
  13. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuamka asubuhi na kukuta hali hii naombeni ushauri!

    Hapo kuna mambo mawili yanaweza kuwa sababu 1: angalia kucha zako kama ni ndefu kata 2: kwa siku 3 au 4 nyuma angalia aina ya chakula au mafuta ya kula unayo tumia hii inaweza kukusababishia alej flani ukajihisi kuwashwa sana kwa baadhi ya sehem za mwili au umebadili sabuni ya kuogea...
  14. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Mnaosema kuwa hakuna mchawi anayeweza kuiba Bank mnajidanganya

    Tangazo limekaa kimkakati sana ..... ila ogopa matapeli ma agent wa shetani wamekuwa wengi sana ...... wana njaa kali sana wanaitaka pesa yako na nafsi yako
  15. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Waiba mafuta kwenye malori na madereva lao moja

    Wambea utawajua tu hata vitu vya kipuuzi unavifuatilia aliyekwambi pale anaiba mafuta ni nani hivi mafuta yanaibwa hadharani kizembe vile .... yale ni mabaki ingekuwa mafuta yana waka kirahisi kama ulivyo elezea magari yasinge bebq mafuta kabisa ..... kuna vitu ukivijulia ukibwani tena mjini ni...
Back
Top Bottom