poleni sana magamba na mtapiga sana kelele, nyinyi propaganda zenu hamzioni? mimi naawaonea huruma sana endeleeni kupandisha wachina jukwaani na kupiga lippu zahanati, Mungu ibariki chadema
kaka haya magamba hayana kumbukumbu kabisa, watz wanamzomea kinana bcoz ni haramia na mwizi wa pembe za ndovu na akajifanya kwenda mahakamani lakini hadi leo kesi ilipokuwa haijulikani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.