Recent content by Jojune

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yapi yanaelekea Kigamboni

    Yaan kwakweli kigamboni tunanyooka,hata hapa nnavyoandika tanesco washafanya yao
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mafuriko makubwa Kyela: Misaada ya kibinadamu ya hali na mali inahitajika haraka

    Dah Mwaya kwetu... Poeni sana ndugu zetu...Mungu awapiganie kwakweli
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Mbolea ya Kuku.

    Asante Sana kwa ushauri ndugu.. Japo mpk sasa ni nyingi Sana, sio chini ya Tani 10 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Mbolea ya Kuku.

    Za mchana.. Nauza Mbolea ya Kuku, IPO kwa wingi Sana, napatikana Kigamboni Kwa Mwingira Mjimwema.. Kwa mawasiliano Tafadhari wasiliana nami kupitia 0786 647564 au 0674 050550.. Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada soko la kuku dar es salaam

    Kuku wa Aina gani
  6. J

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Je unaweza kufungua account Mbili, kwenye branch moja??
  7. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco,naomba kuuliza kigamboni kuna shida gani??mana hatuna umeme toka saa moja asbh
  8. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asanteni kwa kupokea
  9. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco,umeme mmerudisha huku kigamboni,lkn unacheza balaa,yan mtatuunguzia vitu,mara uwe mwingi mara mdogo,heri msingerudisha basi
  10. J

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani? msaada tafadhali

    Mungu wetu ni msikivu,Na hutenda kwa wakati wake
  11. J

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani? msaada tafadhali

    Huyo ni maombi tuu.. Poleni sana
  12. J

    JamiiForums Tanzania Msaada! Mtoto mchanga kabonyea upande mmoja

    Ingekuwa Ana chogo,ningesema umtengenezee ngata ya kichwa,then akilala kichwa unamdumbukiza Kwenye Ile ngata,sasa sijui huyo wako kabonyeaje...Pole mamie
  13. J

    JamiiForums Tanzania Msaada! Mtoto mchanga kabonyea upande mmoja

    Kuna wamama watu wazima huwa wana namna Yao ya kuwakanda watoto Kama hao..Ila naona kwa sasa Punguza kumlaza huo upande uliobonyea,pia mtoto usimlaze upande mmoja sana,alale upande,alalie mgongo,tumbo pia Ila jaribu kuwa unamgeuza Mara kwa Mara ili abalance... Pia unaweza mkanda Na mafuta ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kula kwa kutumia mkono wa kushoto kwa mtu mzima ni uchafu

    Huyu nae eti ni mtu mzima...
  15. J

    JamiiForums Tanzania BASATA tunasubiri msimamo wenu wa habari ya Nay wa mitego mlioitoa mapema leo

    Ila ney akae mguu ndani,mwingine nje...nahisi kuna bomu lake mahali,it's just the matter of time
Back
Top Bottom