Recent content by jojoe35

  1. jojoe35

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kisasa hawatagi, sasa chanzo chao ni nini?

    MKUU UNACHOTAKA KUJUA HAKINA TOFAUTI NA HAYA MAHINDI YAKUNUNUA DUKANI CKUIZI YAKIOTA HUWEZI KUPANDA TENA SHARTI URUDI KWAO WAKUPE MBEGU NYINGINE, INSHOT VITU VISHAFANYWA BIASHARA VIUMBE ASILI VISHATOWESHWA, NI MW3NDO WA KUFANYWA WATEJA WA DAWA ZA KANSA,FIGO,MOYO, PRESHA NA KISUKARI, BIASHARA ZA...
  2. jojoe35

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    nimekufatilia tangu mwanzo wa uzi wako nilitegemea nitaona umetoa fungu la biblia linalokusapot twende kuombewa kwa mtumishi, lakini naona porojo za kupiga sadaka tu
  3. jojoe35

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Naogopwa sana na watu

    Hivyo ndivo Mungu kakuweka kubali hilo kwanza maana ni Edeni yako kama samaki anavotegemea maji, badala ya kupasua kichwa kutafuta usichokua na uwezo nacho boresha asili yako uone itakusaidiaje kufikia mafanikio yako, nakuhakikishia kadri utavojichangamsha kwa watu ndivo utakua kituko zaidi
  4. jojoe35

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wezangu tupate wasaa wa kujadili hili jambo!

    Tatizo kununuliwa soksi akat nmemhonga nyumba
  5. jojoe35

    JamiiForums Tanzania Kufanya kila kitu kwa wakati ni kuwahi kufa

    Hili nalo mola alitazame
  6. jojoe35

    JamiiForums Tanzania Kwani Mungu pia anashindwa na jambo?

    Ukishindwa kumuelewa Mungu umeanza kumuelewa Mungu, ongeza juhudi
  7. jojoe35

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

    Me nikajua utaenda kutoa ujanja baada yakuponda umama
  8. jojoe35

    JamiiForums Tanzania Tumeumbwa Ili iweje?

    Hili swali lishajibiwa jukwaa la inteligence kwenye nyuzi za Yoga nenda huko
  9. jojoe35

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo semeni ukweli kuhusu GMO

    Sio ajabu matoto ya 2000 yanaonekana kuzeeka, hindi lililotakiwa kukomaa kwa miezi 6 linakomaa miez 2 linaliwa anaekula atakomaa kwa miez 2. Kuku wakuliwa miez 6 anakomaa wiki 2 ya 3 analiwa, atakae kula atakomaa kwa wiki 2. Mwembe wakukua na kutoa matunda baada ya miaka 4-6 utakua kwa miez 6...
  10. jojoe35

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Ulivotumia neno "hapohapo Marekani" nikajua tyu uko bongo hapahapa, Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
  11. jojoe35

    JamiiForums Tanzania Robert Heriel alikuwa sahihi, roho yako ndiyo inapata neema/toba siyo mwili

    Mahubiri yamekuchanganya huelewek unataka ktuambia nn dini au karma Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
  12. jojoe35

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

    Atakua mdau wa pilau
  13. jojoe35

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Ninachangamoto ya kukosa hamu na mwanamke hata nikiwa naye 6×6

    Hukua na shida kihivyo Uyo ustadhi ndokazimalizia zote, na hutapona hadi ashibe hela zako, cjui mnawazaga nin
  14. jojoe35

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wanafunzi 70 kati 130 wakwama kumaliza kidato cha 4 kisa mimba za utotoni

    Mama amesharuhusu kuendelea na masomo baada ya kujifungua stak kelele Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom