hi wananchi wenzangu mnaona kuna umuhimu wa jeshi la polisi kuendelea kuwepo nchini?
kwa upande wangu sioni haja ya kuwepo kama badala ya kuwalinda wananchi ndo linaongoza kuuwa raia wasiokuwa na hatia yoyote!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.