Recent content by Johnson json

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

    Mm nachukua interchick, chanjo Nina wapa, maana unakuta hata mwanzoni wiki kama ya pili shida inaanzaa, yaan unakuta hata Hawa kuku ninawaogopaa kabisa na pia kuhusu magonjwaa mm ninafuatilia lakin unakuta hawaponi kabisa yaan, nakuhusu biosecurity natumia D4VERT na kingine changamoto ni kwenye...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kuyafikia mafanikio ya ufugaji kwa kuku wa broiler

    Habari samahani, Mimi ni mfugajii lakini shidaa yangu IPO Kwa hao chotara maana nmejaribu kufuga mara kaza, lakini hakuna output yoyote maana kuku wanakufaa balaa juzi nimetoka kuteketeza kuku 300 wa wiki tanoo sijajuwa shidaa ni nn?Samahani unaweza nisaidia unatumia mbinu Gani ama mfumo wako wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya tray la mayai ya kuku wa kisasa (layers) Kahama ni shilingi ngapi?

    Unapatikana kahama sehemu gani
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya tray la mayai ya kuku wa kisasa (layers) Kahama ni shilingi ngapi?

    Habari za mda huu wanajamvi, samahani ninauliza Bei ya tray moja ya mayai Kwa kahama, kama Kuna mtu anafahamu?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na washirika wako nakwambia hivi: Maandamano ya kweli huwa hayatangazwi hii movement ishafeli big time 100%

    Yaan mnafanya maandamanoo mnapgwa vrunguuu anaehamasisha yupo anawachekii tuu huko US😪
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kafaulu freshi form 4 anataka aende kusomea computer, Aende kusomea Taaluma ipi na chuo gani ?

    Toa faida wacha kuongea ujingaa hii ndo NEOCOLONIALISM
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mikoa hii haina vyuo vikuu kabisa wala mpango wa kuvijenga. Serikali iwajibike kuisaidia haraka

    Pwani Kuna chuo kikubwaaa cha siasa Africa mashariki tena magu ndo alizindua....na Kuna OPEN UNIVERSITY.... Na college kibao hususan vya afyaaa Kwelii ww huna unachoo jua ni ujinga tuuu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Land rover jaguar f-pace

    Wataalamu wenye uwelewa wa hii gari kwenye oil consumption...na spares zakee je ni affordable...natanguliza shukran
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukaapa hutakaa uifanye tena?

    Uliinvest ama ulikuwa mponcha
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukaapa hutakaa uifanye tena?

    Apolo mbna muoga😂
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dawa gani inafaa hawa kuku wa mayai?

    nmewachoma hii dawa imekuwa msaada Mkubwa kwaoo cc 2 Kwa kila kuku hii ni njee ya kitaalamu Kuna mfugajii alinipa kama experience yake
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

    Daaah😂😂..!!kitamboo sanaa nakumbuka kipndi nipo o level nilikuwa na mazoeaa naa crew ya vjana wa mizahaa sanaa.. Sasa Kuna tukioo lilitokeaa pale skul..Kuna jamaa MMOJA kwenye ilee Crew alifumwaa anakojoa kwenye pipaa la choon aiseee..ilikuwa ni fedhea.. Alivyokamatwaa waalimu wakasemaa huyuu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dawa gani inafaa hawa kuku wa mayai?

    Nina kuku wa mayai zaidii ya 800+.. lakini Kwa Sasa wanashambuliwa na ugonjwaa wakuharaa kinyesi cha njano na cheupee nimetumia dawa za kutosha, ushaurii kutoka Kwa wataalamu lakin wapii sijaona mabadili. Nimekuja hapa jukwaani naomba msaada Kwa yeyote mwenye njia nyingne mbadalaa namaansha...
Back
Top Bottom