ni hoja tu, kupata ulinzi wa polisi. kama una msafara na una mapesa mengi unasafiri nayo, polisi ukiwaomba hawakunyimi ulinzi maana ndio kazi yao KULINDA RAIA NA MALI ZAO.
Ndgu yangu, dhahabu mara nyingi kwenye nchi zetu hizi haisubiri wanajiolojia mahiri wakwambie ipo au haipo, ni wanajiolojia wetu wa ngumbalu ndio wantuonyesha hapa kuna dhahabu, migodi yote ya dhahabu huku bara ilianzishwa na wachimbaji wadogo ndio wakubwa wakaja na mipesa yao wakaondolewa. kwa...
hahahaaaahaaaa!!!!!!!, au kuna mtu analizushia jeshi letu mahili la polisi?!?, maana hii taarifa hata kwa waliosoma nkome huko wanaelewa ni kampiko fulani hivi. lakini hii si mara ya kwanza!!!
swali lako ni fikirishi sana, nadhani hatujafika mwisho wa case hii,je walikuwa ni wao tu kwa utashi wao tu??!!? and for what reason, kama walitumwa the somebody behind the scene yuko wapi?!?, hawezi kuua wengine?!?
Habari hapo wizarani, npenda kuelewa kwa kina ni kwa namna gani wizara hii nyeti inasimamia dawa nyingi zinazotangazwa na kuuzwa mitandaoni, maana sioni alama yenu yoyote kwamba imesajiliwa na ni salama ka matumizi ya binadamu lakini pia inatibu kwa usahihi kile kinachosemwa. vinginevyo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.