Ukisikia vijana waichukia serikali ni wale ambao hawajishughulishi na mitikasi ya kila siku wao ni kukaa vijiweni na kuanza kujadili maisha ya neema pasipo kujua lazima wahagaike ndipo wapate hayo maisha hapo ndipo unakuta mtu hana la kufikili na kuanza kuilaum serikali
Imeandikwa si kila mtu asemaye vwana bwana atauonaufalme wa mbinguni na jihazarini na manabii wa uongo kwamaana watahubili na kutoa mapepo kwa jina langu na watafanikiwa na mkiwafuata mtaangamia.
Bongo move wamekosa wa kumshitaki wafanye move kama wenzetu siku zote chenye gharama ndicho kiziri so wasitumie gharama ndogo wakizani watatengeneza kilicho bora never.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.