Recent content by johnshedo

  1. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Pesa ya bure hiyo

    Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people Fungua link create account ujipatie dollar za bure
  2. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Post za darasa la saba kwenda form one

    Jaman mwenye uwelewa ni tovut gani yenye majina hayo atupe riport
  3. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    Plz. S.0158/0028/2011
  4. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    Ada ni mil 1.5
  5. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    Hahahah.... Hv Nit pale makut ndio nn kile kilikua kinaendelea j.moc. mbona wale vjana wa Certificate na Foundation walikosa ustarab ni Freshers gan ile asa... Kila mtu anajifanya yy ndio kiongoz.. ma. MC Kibao Dah... 😁
  6. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Je wana JF wengi walisoma /wanasoma Chuo gani?

    Hahahah wana JF wengi kumbe ni mbwebwe Tu....
  7. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Je wana JF wengi walisoma /wanasoma Chuo gani?

    Hiyo Quality ip jina au.. maana kwenye udahil wa kaz tuu mnachemka sana hamna lolote nyie mnaenda pale na kulewa sifa hahahah...
  8. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Je wana JF wengi walisoma /wanasoma Chuo gani?

    Hahahah nyie mnaokimbilia Udsm mnalewa Sifa sana shaur yako..
  9. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Je wana JF wengi walisoma /wanasoma Chuo gani?

    Mbona hakijulikan hicho mkuu
  10. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Je wana JF wengi walisoma /wanasoma Chuo gani?

    Hahah.. Mm Nipo NIT tuu wala sipo kwa wapenda sifa..
  11. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Je wana JF wengi walisoma /wanasoma Chuo gani?

    Kutokana na matambo mengi vya Vyuo je Wengi humu wapo au walisoma Vyuo gan heb tupia Chuo chako hapa.. 😳
  12. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    Mkuu itakua umedandia train kwa mbele.. flyn rider
  13. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    Hawa loan board mbona link za waliokosea kujaza hazifunguk au ndio wanataka kuwanyima watu mikopo..!
  14. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Kozi fupi zinatolewa na NIT

    Udereva ndio koz fup inayotolewa na Nit
  15. johnshedo

    JamiiForums Tanzania Logistic and Transport Management, National Institute of Transport

    Hahahah.. Vjana wa Nit kumbe tupo wengi humu.. Ni koz nzur sana hiyo.. Na kuhusu kaz siku hizi Wanaangalia Unamjua nani..? Coz fild yenyewe tumesugua bench kishenzi yaan..
Back
Top Bottom