Recent content by Johnsecond

 1. Johnsecond

  CHADEMA ni wabepari iweje leo kusema chama cha wananchi

  Chadema ni taasisi na sio MTEI. unaliwa wewe
 2. Johnsecond

  Sugu Awapa Makavu Nape Na Kinana

  Babake yule
 3. Johnsecond

  Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

  Blanket la kitapeli la dini sijui binadamu watalitupa lini
 4. Johnsecond

  Kisiasa Nini Maana ya Uteuzi wa Paul Makonda Jana?

  Mtu makini hufanya huteua watu makini, saa ni lini JK akateua watu makini?? Mawaziri kila siku mnahangaika nao, mimi mwenzenu nina count down JK atoke . . . .
 5. Johnsecond

  Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa Kwanza Mweye Power ya Kweli katika Historia ya TZ - Field Marshall ES

  unajijua kuwa wewe ni kichwa? uelewa wako mzuri mkuu maana hapo umeenda kwenye kiini. Waziri mkuu wa kwanza mwenye fedha ni Lowasa
 6. Johnsecond

  King'amuzi haraka nin 10000

  Chief kanunue tu, mpaka leo sijui kizuri kipi ila startimes utavunja TV
 7. Johnsecond

  ITV Kijiwe cha makanjanja

  Tunataka mfukuzwe kazi wote kuna vijana wamemaliza shule wanaweza fanya kazi hiyo vizuri kabisa
 8. Johnsecond

  ITV Kijiwe cha makanjanja

  weewe ni zaidi ya JK una huruma sana, usingekuja kumwajibisha waziri hata mmoja maana ungesema kama pinda kuwa haya jamani waziri kayakuta na kaanza kazi juzi tu tumwache ale ale. "We need someone to be hold accountable for any ignorance, from there we can build a strong society" -
 9. Johnsecond

  ITV Kijiwe cha makanjanja

  Huwa siangalii channel ten na TBC, ni vituo vya CCM vinadanganya sana, star tv nayo huwa inadanganya lakini sio kama hivyo viwili
 10. Johnsecond

  ITV Kijiwe cha makanjanja

  Superbrand, kitabaki kuwa kituo bora kwa sababu hakina challenge vingine vidhaifu na vipo kiitikadi sana. Ndo maana ukiweka mambumbumbu ukawapa mtihani yupo atakayekuwa wa kwanza
 11. Johnsecond

  ITV Kijiwe cha makanjanja

  Sio jana tu mbona muda mrefu sana hawajirekebishi, wawajibishane kwa kuandikiana barua watakuwa serious na kazi. Wasiwe kama CCM wanaharibu. Thread ngapi umewahi kuziona humu jamvini kuhusu ITV mkubwa?
 12. Johnsecond

  ITV Kijiwe cha makanjanja

  Wakati msomaji wa taarifa ya habari saa mbili usiku jana anasoma alisema hivi "Mengi amesema kuwa watanzania waige mfano wa rais kikwete katika kuchukia umaskini" wakati najiandaa kumuondoa Mengi kwenye list yangu ya watu ambao niliwaamini angalau kidogo, mengi akawekwa hewani hakusema kitu...
 13. Johnsecond

  CCM: Sasa ni dhahiri wanajenga mnara wa babeli;Itakufa Oktoba 2015.

  Mkuu huwa simsikilizi JK lakini hii ya jana imenikuta nakula, alisema yote. Kwa maslahi ya taifa na chama, tena akasisitiza kuwa vyama visimamie misimamo yao pia.
 14. Johnsecond

  Mbowe amlipua JK kuhusu katiba mpya

  Usomi wa mtu tunaupima kwa kile kilichobaki kichwani baada ya kwenda shule. Sasa unamdhalilisha Dr. tungekuwa na kipimo cha kupima level ya ufahamu mbona wengi tunge opt kuishia std seven maana tungejua unavyozidi kusoma level inapungua. Kama huyu ndiye msomi ambaye mnamtegemea , basi dunia...
 15. Johnsecond

  Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

  Mkuu alipokuwa anahutubia siku moja alisema sasa wanaotaka urais wanaweza wakaanza kupita pita, alimaanisha nini? yalikuwa yake aliyoyaongeza juu ya akili za wengine au ilikuwa ni azimio la chama? Kama ni hivyo basi mwenyekiti wa chama alisema hivyo na chama hakikutoa tamko kupinga basi Lowasa...
Top Bottom