CHADEMA ni wabepari iweje leo kusema chama cha wananchi

norasco

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
41
Reaction score
19
mwasisi wa chadema mtei wakati mwalimu nyerere anatetea maskini na siasa za ujamaa MTEI alitetea ubepari mpaka mwalimu kamfukuza serikalini iweje leo waseme chadema ni ya wananchi?
 
kichwa panzi huyu,..usiwe unakunywa supu ya pweza kama mdomo mzito utakufa zikihamia kichwani
 
mwasisi wa chadema mtei wakati mwalimu nyerere anatetea maskini na siasa za ujamaa MTEI alitetea ubepari mpaka mwalimu kamfukuza serikalini iweje leo waseme chadema ni ya wananchi?
Kumbe ni Tetesi? Karibu JF
 
chadema alikuwa ni zitto tangu zitto aondoke hakuna chadema.
 
mwasisi wa chadema mtei
wakati mwalimu nyerere anatetea maskini na siasa za ujamaa MTEI alitetea
ubepari mpaka mwalimu kamfukuza serikalini iweje leo waseme chadema ni
ya wananchi?

Na vyama vingine ni vya mrengo gani tukianza na hicho kilicho madarakani...
 
Chadema chama cha kibepari walichonacho akina mbowe wanazidi kujenga dubai ruzuku misaada wanatafuna hata gazeti la chama anamiliki mbowe eti lake tahasisi gani wanashindwa kujenga ofsi wanazidiwa na PRIDE pesa yote mfukoni na kukopeshana.
 
mwasisi wa chadema mtei wakati mwalimu nyerere anatetea maskini na siasa za ujamaa MTEI alitetea ubepari mpaka mwalimu kamfukuza serikalini iweje leo waseme chadema ni ya wananchi?

kama CCM ni wafisadi na wanajiona chama cha wananchi, kwanini isiwezekane kwa chadema?
 
chadema alikuwa ni zitto tangu zitto aondoke hakuna chadema.

Duh bado una imani na zitto. He is gone for all. Hamna kitu kama zito tena mkuu amebaki story tu. Usichezee CDM ndugu yangu
 
mwasisi wa chadema mtei wakati mwalimu nyerere anatetea maskini na siasa za ujamaa MTEI alitetea ubepari mpaka mwalimu kamfukuza serikalini iweje leo waseme chadema ni ya wananchi?

Mtei alifukuzwa au alijiuzulu?
 
mwasisi wa chadema mtei wakati mwalimu nyerere anatetea maskini na siasa za ujamaa MTEI alitetea ubepari mpaka mwalimu kamfukuza serikalini iweje leo waseme chadema ni ya wananchi?
Kwa hiyo una maana mabepari hawawezi kuwa wananchi? Au kwa maneno mengine una maana wananchi kwa tanzania ni wajamaa (socialist) tu. Hivi sasa tunafuata sera gani ujamaa au ubepari?
 
chadema alikuwa ni zitto tangu zitto aondoke hakuna chadema.

Utagongwa wewe unasemaje????aliyekudanganya ni nani eti chadema ilikuwa zitto.uckomenti tu kama umakalia kijiti mbuzi wewe
 
Kwan mabepari wanatoka mbinguni au ni haohao wananchi??
Ubepari ni sera bora kabisa ya maendeleo, wavivu wote lazima wakimbilie usoshalisti.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom