New York times tokea uchaguzi WA marekani uishe limekuwa gazeti la hovyo kabisa. Kila siku linamshambulia trump kkwa niaba ya Hillary Clinton,Democrat na establishments wengine mabilionea WA ki liberal.
hivi mashambulizi yake hayaishi mpaka trump ang'oke, litatumia Kila sababu ikibidi hata mfano...
Sad story , RIP Wayne . Ndani ya selous au Serengeti ungeweza kuwa salama lakini inasikitisha kusema wanadamu Ni wabaya na katili kuliko simba,nyati na other wild beasts.
underdogs ( mnyonge) siku zote anapewa sapoti hata Leo Tanzania ikicheza na ujerumani tutapata sapoti ya mashabiki.
napenda ulimwengu ambao mbabe sio mmoja ili kuondoa uonevu na kuleta kuheshimiana, Hitler angekuwa superpower peke yake hali ingekuwa mbaya kwa dunia
Kukubali kwa CIA kunaondoa utata uliojitokeza tangu enzi ya Bill clinton kama kweli North korea ni tishio kwa marekani, sababu hapo awali ilifahamika ni tishio kwa nchi za Japan na South korea.
Labda taarifa za hivi karibuni zinasema north korea walinunua injini za makombora ya masafa marefu...
Mwanamke WA kwanza kupeleka maombi na kukubaliwa kujiunga na kozi ngumu ya mafunzo ya ukomando kwenye kikosi cha navy seals ameomba mwenyewe kwa hiari yake kuacha mafunzo hayo na kurudi nyumbani.
Hilo liwe fundisho kwa wanawake WA kizungu kupenda kujiweka sawa na wanaume kwa kila jambo.
mtoto...
North walikuwa matajiri kuliko south wakati WA Kim Il sung babu yake Kim jong il. Siasa yake Kim jong Ni kuendeleza nyuklia na uchumi vyote vinaenda sambamba. Ili use na uchumi mkubwa lazima use na jeshi imara kuulinda uchumi
Ni
kamanda WA navy pacific fleet alisema wapo tayari kuishambulia north Korea wakipokea amri ya raisi trump muda wowote.
sio china Ni north Korea ndugu
fanya masahihisho
upo sawa mkuu. Huyu jamaa ndio ameiwakilisha nchi vyema anatakiwa apewe ufadhili WA nguvu awe na maisha ya ki professional. Utakuta mtu anakatika viuno au anaigiza upuuzi Ana utajiri mwingi wakati international athlete ambae Ni maarufu duniani Ana maisha ya kawaida
vodacom,airtel,tigo leteni ela...
Huyo mkenya apimwe mkojo kama ametumia dawa za kuongeza nguvu au la.
maana wakenya wamekumbwa na kashfa ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu kwa muda mrefu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.