Mwanamke wa kwanza kwenye kozi ya Navy Seals commando asalimu amri

johnnydeep

Senior Member
May 2, 2017
116
102
Mwanamke WA kwanza kupeleka maombi na kukubaliwa kujiunga na kozi ngumu ya mafunzo ya ukomando kwenye kikosi cha navy seals ameomba mwenyewe kwa hiari yake kuacha mafunzo hayo na kurudi nyumbani.

Hilo liwe fundisho kwa wanawake WA kizungu kupenda kujiweka sawa na wanaume kwa kila jambo.

mtoto akililia wembe mpe ukimkata atatambua kosa lake.

navy seals na sas ya uingereza wana mafunzo magumu Sana.

navy seals ugumu wao unakuja kwenye mafunzo ya kwenye maji mpaka kupelekea kifo wakati mungine.

sas ugumu unakuja kupanda mlima na mzigo mkubwa mgongoni kwa kasi ya ajabu kwa kupimiwa muda huku oksijeni ikiwa ndogo sana.

spetnaz ugumu wao unakuwa kwenye mapambano ya silaha kali midhili ya vita kamili kumbe Ni mafunzo Tu.

kwahio mafunzo yote vifo lazima vitokee sasa je hapo Kuna nafasi ya mwanamke?

--------
The first woman to step forward to attempt Navy SEAL training has dropped out of the process, but another female is poised to possibly become the first to make it through the Marine Corps’ infantry officers’ course.

A Naval Special Warfare official confirmed that a female candidate who started the SEAL Officer Assessment and Selection program — a precursor to the rigorous half-year SEAL tryout course — has removed herself from the applicant pool, as first reported by Task & Purpose.

The three-week officer introduction program in Coronado is designed to give prospective applicants a taste of SEAL life to see if they want to continue. If they do, the next step is review by a SEAL officer selection panel. Those chosen by the panel get orders to Basic Underwater Demolition/SEAL, where SEALs are forged on the beaches of the Silver Strand.

The first female candidate bowed out about halfway through the assessment program, according to Josh Cotton, an analytics expert who did work for the SEAL command looking at candidate attrition rates.

The dropout rate in SEAL training is infamously high. Roughly 75% of the men who start the course don’t finish.

There are no other women in the SEAL pipeline, a Naval Special Warfare official said Friday. However, one female is continuing in training to become a Naval Special Warfare combatant-craft crew member — another direct action job that only recently opened to women.

The outlook appears good for one woman attempting the Marine Corps’ infantry officer course, also known as a notoriously rough physical ordeal.

A female Marine officer is nearing the halfway mark of the course, according to the Marine Corps Times.

If successful, she would become the first woman to pass the 12-week course required to become an infantry platoon commander. At least 30 others have tried and failed.

First woman to join Navy SEAL training pipeline drops out
 
Source
Mwanamke WA kwanza kupeleka maombi na kukubaliwa kujiunga na kozi ngumu ya mafunzo ya ukomando kwenye kikosi cha navy seals ameomba mwenyewe kwa hiari yake kuacha mafunzo hayo na kurudi nyumbani.
Hilo liwe fundisho kwa wanawake WA kizungu kupenda kujiweka sawa na wanaume kwa kila jambo.
mtoto akililia wembe mpe ukimkata atatambua kosa lake.
navy seals na sas ya uingereza wana mafunzo magumu Sana.
navy seals ugumu wao unakuja kwenye mafunzo ya kwenye maji mpaka kupelekea kifo wakati mungine.
sas ugumu unakuja kupanda mlima na mzigo mkubwa mgongoni kwa kasi ya ajabu kwa kupimiwa muda huku oksijeni ikiwa ndogo sana.
spetnaz ugumu wao unakuwa kwenye mapambano ya silaha kali midhili ya vita kamili kumbe Ni mafunzo Tu.
kwahio mafunzo yote vifo lazima vitokee sasa je hapo Kuna nafasi ya mwanamke?
 
Mfano Mgodini Geita(GGM) kuna kipindi wanawake walikuwa wanapewa kazi za kuendesha Dumping Trucks lakini kwavile wana matatizo yakibiolojia kwa mwezi wakawa wanaona siku zao zaidi ya x 3 ikabidi wapewe ofisi works mpaka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
ubishi wa haki sawa bila kutafakari utawatokea puani maelfu ya wanawake hasa afrika...
hata haki sawa zinamipaka yake kibaiolojia na kikemia
 
Mwanamke WA kwanza kupeleka maombi na kukubaliwa kujiunga na kozi ngumu ya mafunzo ya ukomando kwenye kikosi cha navy seals ameomba mwenyewe kwa hiari yake kuacha mafunzo hayo na kurudi nyumbani.
Hilo liwe fundisho kwa wanawake WA kizungu kupenda kujiweka sawa na wanaume kwa kila jambo.
mtoto akililia wembe mpe ukimkata atatambua kosa lake.
navy seals na sas ya uingereza wana mafunzo magumu Sana.
navy seals ugumu wao unakuja kwenye mafunzo ya kwenye maji mpaka kupelekea kifo wakati mungine.
sas ugumu unakuja kupanda mlima na mzigo mkubwa mgongoni kwa kasi ya ajabu kwa kupimiwa muda huku oksijeni ikiwa ndogo sana.
spetnaz ugumu wao unakuwa kwenye mapambano ya silaha kali midhili ya vita kamili kumbe Ni mafunzo Tu.
kwahio mafunzo yote vifo lazima vitokee sasa je hapo Kuna nafasi ya mwanamke?
tupe sosi ya post yako
 
bila kuingia kupitia viti maalum na kupewa upendeleo.
Kibailojia hakuna mwanamke wa kufaulu hizo kozi au zile za SAS.
tatizo wanadanganyana huko beijing eti mwanamke anaweza kila kitu
Kuna kaukweli hapa. Najaribu ku-imagine ndio komandoo wa kike yuko face-to-face na adui labda the only silaha ya karibu walizo nazo ni visu; ghafla mdada wa watu "chini" mambo yameharibika maana yanatokea bila taarifa sijui inakuwaje. Bailojia imeharibu mambo.
 
wanawake ni soft target kwenye mapambano ya kuviziana,ingawa sometimes huwa wanafanikisha sehemu kubwa ya assiment ya kikazi kwa kutumia udhaifu wa wanaume kwenye mbinu ya one against one...
kwa mwanaume kujiaminisha ke ni dhaifu mbele yake kwa kijisahau na umakini wa kutekeleza kazi kwanza....
MB:ke atabaki kuwa dhaifu milele mbele ya me...
 
Back
Top Bottom