Recent content by johnml2020

  1. J

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Hakika tutawachapa na kufuzu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Mimi nilimaliza hapo 2003. Kweli mchwa mpaka alikuwa hatari sana, lakini nasikia alishaaga dunia
  3. J

    JamiiForums Tanzania KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Naomba nikuulize kwenye kitabu cha Biblia hakuna nabii mwanamke??
  4. J

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Real Madrid unamuweza wewe? Labda iwe City, mmeteseka sana mpaka mmepagawa !! Hata umiliki mpira wenyewe hamna kitu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji karatasi ngumu (manila ngumu)

    Dar
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji karatasi ngumu (manila ngumu)

    Si bango ni kwa ajili ya mahitaji yangu binafsi, nimetafuta kwenye sehemu za stationary nimekosa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji karatasi ngumu (manila ngumu)

    Wanandugu mwenye Manila ngumu naweza kumpata ?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Leo Jumapili njoo na mstari wa kumbukumbu

    Ezekieli 33:8 Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Leo Jumapili njoo na mstari wa kumbukumbu

    Marko 1:16 -18 Naye alipokuwa akipita kando ya bahari ya Galilaya, akamwona Simoni na Andrea nduguye, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi. Yesu akawaambia, Njoni mnifuate, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu. Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.
  10. J

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Man city ugenini hawawezi, wanaweza home tu, na hiyo fainali sio nyumbani, wakome
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na huzuni kuu baada ya kutangazwa majina ya walimu, nimekuwa nikijitolea bila mafanikio

    Acha kudharau kazi ya ualimu! Ulipokuwa unasoma elimu ya msingi, ulifundishwa na nani? Nenda ukatubu umekosea sana.
Back
Top Bottom