Recent content by johnmashilatu

  1. J

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa Abiria mwenye tiketi kulipishwa kuingia Kituo cha Mabasi Msamvu haufai

    Stand karibu zote kuna huo wizi na ajabu zaidi, ukienda choo cha stand hiyo uliyolipia kuingia, unatozwa tena!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa makampuni ya maziwa tanzania

    Miaka ya 1990 kampuni ya Brookband ( sikumbuki jiba vizuri) ya kusindika maziwa ya nchini Kenya, ilitaka kupajua soko lake nchini Tanzania. Wakiwa kwao na kwa kutumia takwimu za sensa na hali ya uchumi, waliona ni vyema wajaribu kuuza bidhaa zao za maziwa katika eneo la kanda ya ziwa. Kabla...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    Wale watoto ni ukoo wa nani? Inashangaza kauli hii kutolewa ilhali, maziko yanafuata imani ya kikristu!
  4. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Hivi wale EWURA CC, wanawajibu gani kama wapokea huduma wana malalamiko kiasi hiki?
  5. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Mkuu. Sikuwa na nia mbaya. Niwie radhi kama nimekukwaza. Hata hivyo, majibu yangu yalitokana na mchangiaji uliyemjibu. Ningeelekeza kwake. Sorry.
  6. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Kuchukulia tatizo la watu wawili kwa umma wote nafikiri sio sawa. Angalia iadi ya wachangiaji humu ambao wanachangamoto hiyo, je ni wote wazembe/waliwapa watoto kuchezea? Kuna maelekezo rasmi kwamba kifaa hicho kitatumika kwa muda gani? Hufikiri kuw huenda, vinamaliza muda wa matumizi?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kuoa wake wengi ni kuwadhalilisha wanawake

    Unawakataa wa kuishi nao huku ukiwa na mchepuko kila mtaa!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    1. Huyu Laurent na marehemu hawawezi kuwa wana ndoa. Haiwezekani kufunga ndoa na marehemu. 2. Kuna umuhimu gani kueleza wote wametoka kilimanjaro?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dr. Mwigulu wasaidie wahadhiri na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Makumira walipwe mishahara yao, hao nao ni binadamu na ni watanzania, miezi 3?

    Maskini Tanzania... wahadhiri tena wa chuo kikuu wanalia hawajalipwa mishahara kwa miezi! Wanafundisha nini hao?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Sir Wicknell Chivayo: Maisha, Imani, utajiri na urithi wa mtu aliyeishi kwa kuwagusa wengine

    Nimejaribu kufuatilia maelezo ya huyo unaye mtaja kama "Sir" nikafikia hitimisho kuwa ume nakiri haya bila kufanyia kazi au una "maslahi" kwa ulivyojitahidi kupamba upepo. Maelezo yako hayasemi huo ukwasi aliupata kutokana na nini, zaidi ya kampuni uliyodai ya nishati. Je, ni miradi gani...
  11. J

    JamiiForums Tanzania MASOUD MASOUD..MANJU WA MUZIKI

    Wakati wa maziko ya Michael Jackson alikuwa ana " narrate" kupitia ITV( kama sikosei). Matangazo hayo yalikuwa yakirushwa live, kwa umahiri wake wa mitaa, kuwaelezea waliohudhuria, na kufafanua yaliyokuwa yakitkjea na kwa maana gani, TBC iliwalazimu wajiunge na ITV, Kutokana na ubora wa maudhui...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token

    Ndugu, TANESCO, naomba kutoa mrejesho kuwa tatizo langu lumepata ufumbuzi kiasi cha dakika kama 20 zilizopita. Naelewa kuna watu wengi wamehusika kufanikisha hili. Niwapongeze. Tusonge mbele licha ya changamoto zikizojitokeza na hivyo kuchukua muda kupata ufumbuzi kwa hatua ya sasa. Jambo la...
Back
Top Bottom